Mimi ni dereva wa mtandaoni (uber) natafuta mtu wa kuniajiri

Smart Mwaki

Member
Mar 25, 2014
27
12
Nilikuwa dereva wa Uber katika Jiji la Dar es salaam kwa miaka minne, kwa sasa sina gari, natafuta mtu ambaye anaweza kuniajiri dereva wake kwa mkataba au njia ya kawaida.

Tafadhali Nifikie kwa +255 782050601 ikiwa unatafuta.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom