Dereva wa basi La Isamilo Afariki Dunia Akiwa Njiani

Dereva wa basi La Isamilo Afariki Dunia Akiwa Njiani

Mkuu wewe ndio hujui kiswahili. Kiswahili alichotumia mleta mada ni sanifu kabisa.
Ingekuwa sijui kiswahili ningekuwa naishije kila siku Tanzania hapa. Hivi unajua kama mimi ni mTanzania wa kuzaliwa kwa baba na mama? Asa ingekuwa sijui kiswahili huyu mke wangu ningempataje wakati ndio lugha nilitumia kumtongoza hadi akakubali?
 
Tanzania kuna wananchi wengi sana hawajui kiswahili hata kile cha kuombea maji, tembea mikoani ukajionee mwenyewe.
 
Kuna watu wana roho ngumu. Toka Shy to Mby huku ukijua kuwa, Aliyekuwa kakikalia kiti hiki sekunde tu zilizopita amefariki tukiwa naye safarini. Nadhani hata alipofika sehemu ya kula cha mchana masaa 3 tu kupita, akaingia akala akashiba akaendelea na safari.
Dah! Wengine mmejaliwa roho ngumu. Kwangu, nisingeliendesha gari hilo

Mkuu mangatara unafanyaje sasa
No way out- hiyo inaitwa “wisdom of the context”
 
Mkiwa safarini wawili mnaelekea sehemu ya mbali halafu katikati ya safari mwenzako akapata tatizo la kiafya...Kutokana na kukosa huduma stahiki akafa.. Jeje wewe pamoja na ujuzi wako wa kuendesha gari,utasitisha safari au utaendelea na safari?
Utawezaje kulinganisha usafiri wenu na huu wa bas lenye watu 65?? Tena ni ajira yenu??
 
Back
Top Bottom