1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,166
- 14,305
Sawa wakuu, tumalize jam na tuokoe muda. Hii mada ilihusu mauti yaliyomkuta dereva ngoja tubaki kwenye maudhui hayo. Naomba kwa heshima na taadhima nifute ushauri wangu wa kuiwasilisha maiti ya mwanadamu.Heshima gani unataka, maiti ya mfalme tu walisema imehifadhiwa vipi ya dereva 😂😂😂
Tufanye yetu kadiri ya uwezavyo mbaba, tukishakufa yoyote/yeyote unakuwa 'chochote', heshima inaisha pale pumzi ya mwisho.inakata!
Mwili wa marehemu amehifadhiwa[emoji777]Maiti imehifadhiwa ni sahihi.
Mwili wa marehemu /merehemu amehifadhiwa ni sahihi.
Na sio maiti amehifadhiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
imehifadhiwa ndo sahihi, maiti imeharibika huwez sema maiti ameharibika, kwenye lugha heshima wala nini kama mtu mmoja alivyosema hapo
imehifadhiwa ndo sahihi, maiti imeharibika huwez sema maiti ameharibika, kwenye lugha heshima wala nini kama mtu mmoja alivyosema hapo
Atakuwa alikuwa mgonjwa sana akajilazimisha kusafiri.
Apumzike kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe uko sahihi, wengine athar ya mama ndo inasababisha hayo
Shinyanga. Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga, Deborah Magiligimba amesema tukio hilo limetokea leo Ijumaa Machi 20,2020 saa nne asubuhi.
Kamanda Magiligimba amesema Sebastian wakati akitoka Mbeya kwenda Mwanza alikuwa akijisikia vibaya walipofika Singida ndipo hali yake ilibadilika wakawa wamebadilishana na dereva mwenzake.
“Katika basi hilo, madereva walikuwa wawili lakini baada ya kuona hali yake imebadilika alibadilishana na mwenzake yeye akaendelea kupumzika lakini walipofika saa nne asubuhi akawa amezidiwa sana, wakambeba na kumpeleka katika kituo cha afya Tinde," amesema Kamanda Magiligimba.
Magiligimba amesema baada ya kumfikisha hospitali daktari alibaini kuwa tayari Sebastian alikuwa ameshafariki dunia.
Amesema kwa kuwa gari lina madereva wawili, dereva mwingine ameendelea na safari kwenda Mwanza na maiti imehifadhiwa katika kituo cha afya cha Tinde.
View attachment 1393946
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa amani kumejaa apumzike kwa upendoAtakuwa alikuwa mgonjwa sana akajilazimisha kusafiri.
Apumzike kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alikuwa mgonjwa sana akajilazimisha kusafiri.
Apumzike kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Umemjibu kisomi zaidi..nimependa!Nadhani ni sahihi maana neno maiti lipo katika ngeli ya nomino ya I/ZI. Nisahihishwe kama nimekosea.
[emoji23][emoji23][emoji23] Umemjibu kisomi zaidi..nimependa!
😂 😂
Mwenyewe nimewaza hivoo...Aisee, imagine huyo dereva aliyeendelea na safari huku akimfikiria mwenzake aliyefariki. Maisha ni membamba sana. RIP