Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,467
- 20,412
Kwani kwa wanyama nao tunatumia neno Maiti?... kwa binadamu maiti ana heshima zake tofauti na mnyama ndio yenye hizo ngeli zako ulizotaja.
Kwani kwa wanyama nao tunatumia neno Maiti?... kwa binadamu maiti ana heshima zake tofauti na mnyama ndio yenye hizo ngeli zako ulizotaja.
Kifo si sehemu ya maisha....you can't live while you're dead.
Ungeweka picha ya marehemu nafikiri ingekua vizuri zaidi kuliko kutuwekea picha ya basi.. by the way alale mahali pema!Shinyanga. Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga, Deborah Magiligimba amesema tukio hilo limetokea leo Ijumaa Machi 20,2020 saa nne asubuhi.
Kamanda Magiligimba amesema Sebastian wakati akitoka Mbeya kwenda Mwanza alikuwa akijisikia vibaya walipofika Singida ndipo hali yake ilibadilika wakawa wamebadilishana na dereva mwenzake.
“Katika basi hilo, madereva walikuwa wawili lakini baada ya kuona hali yake imebadilika alibadilishana na mwenzake yeye akaendelea kupumzika lakini walipofika saa nne asubuhi akawa amezidiwa sana, wakambeba na kumpeleka katika kituo cha afya Tinde," amesema Kamanda Magiligimba.
Magiligimba amesema baada ya kumfikisha hospitali daktari alibaini kuwa tayari Sebastian alikuwa ameshafariki dunia.
Amesema kwa kuwa gari lina madereva wawili, dereva mwingine ameendelea na safari kwenda Mwanza na maiti imehifadhiwa katika kituo cha afya cha Tinde.
View attachment 1393946
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua tunaomboleza.. ila nitoke nje ya mada kidogo, kwenye hiyo avatar huyo ni wewe😊
Pole Kwa wafiwa. Nilidhani amefariki huku anaendesha Gari.
Heshima gani unataka, maiti ya mfalme tu walisema imehifadhiwa vipi ya dereva [emoji23][emoji23][emoji23]
Tufanye yetu kadiri ya uwezavyo mbaba, tukishakufa yoyote/yeyote unakuwa 'chochote', heshima inaisha pale pumzi ya mwisho.inakata!
Hee yamekua hayo tena katikati ya maombolezo, hiyo avatar si mimi mkuu,. Ina shida gani kwani?[emoji14]Najua tunaomboleza.. ila nitoke nje ya mada kidogo, kwenye hiyo avatar huyo ni wewe[emoji4]
Mkiwa safarini wawili mnaelekea sehemu ya mbali halafu katikati ya safari mwenzako akapata tatizo la kiafya...Kutokana na kukosa huduma stahiki akafa.. Jeje wewe pamoja na ujuzi wako wa kuendesha gari,utasitisha safari au utaendelea na safari?Kuna watu wana roho ngumu. Toka Shy to Mby huku ukijua kuwa, Aliyekuwa kakikalia kiti hiki sekunde tu zilizopita amefariki tukiwa naye safarini. Nadhani hata alipofika sehemu ya kula cha mchana masaa 3 tu kupita, akaingia akala akashiba akaendelea na safari.
Dah! Wengine mmejaliwa roho ngumu. Kwangu, nisingeliendesha gari hilo
Akili yako unaijua mwenyewe!Pole Kwa wafiwa. Nilidhani amefariki huku anaendesha Gari.
Ah.. nimeuliza tu mkuu basi mie nilijua huyo wewe😂Hee yamekua hayo tena katikati ya maombolezo, hiyo avatar si mimi mkuu,. Ina shida gani kwani?[emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, poa si mimi huyo.Ah.. nimeuliza tu mkuu basi mie nilijua huyo wewe[emoji23]
Ni kweli ndugu na inauma sana, mwanaume unalazimika ufanye kazi ngumu ili mke wako na watoto wako waweza pata kula. Mungu atutie nguvu wanaume woteNa mara nyingi inakuwaga hivyo,yote hayo ni sababu ya umasikini ukisema ujilegeze wakati mke na watoto wanataka mahitaji yatatoka wapi? Wanaume ni lazima tuheshimiwe RIP dereva
AminaNi kweli ndugu na inauma sana, mwanaume unalazimika ufanye kazi ngumu ili mke wako na watoto wako waweza pata kula. Mungu atutie nguvu wanaume wote
Sent using Jamii Forums mobile app
binadamu ni damu, bila damu ni sanamu!Kwa heshima ya ubinadam kuliwekwa spesho kesi kwa maiti ya mwanadamu mkuu