Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,109
- 52,835
Mie mzee nipo boda hiyo basi nipate hela ya kuenjoy na mashangziMwenye uhitaji tujuzane🙏🙏
Aisee😂😂, kwa style hi hio hesabu SI utawapa mashangazi😂🤔Mie mzee nipo boda hiyo basi nipate hela ya kuenjoy na mashangzi
Wee usijali hesubu utapata tuuAisee😂😂, kwa style hi hio hesabu SI utawapa mashangazi😂🤔
😁Kuna shangazi moja hv anakusanyaga hela ya mchezo ana mwanya Mzuri mtindi umenyanyuka kinoma, kwa haraka yule ana kama 40yrs hv........salimia watu bossMie mzee nipo boda hiyo basi nipate hela ya kuenjoy na mashangzi
Wee usijali hesubu utapata tuu
nina mishe zangu 😂
Mi nimekuitaa tupige story, ili Uzi usogee😂😂nina mishe zangu 😂
chap chap kuna watoto wananisubiri PM 😂Mi nimekuitaa tupige story, ili Uzi usogee😂😂
We kenge SI ulisema madem nao ni update🤔chap chap kuna watoto wananisubiri PM 😂
kivipi... 😂We kenge SI ulisema madem nao ni update🤔
Naona last seen yake ni jumapili🤔
Upinde😂kivipi... 😂
Mkuu kuna baadhi ya vitu siwezi kuweka wazi Sana, ila akihitaji atapata 🙏🙏Ungeweka picha za vyombo vyako vya moto ungeongeza ushawishi wa vijana
sikumbuki mbona 😂Upinde😂