Derby ya Kariakoo na Derby za Kwa Bed 😉🔥

Guys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto 🔥
Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed 😅
Kuna goli likifungwa unasahau kabisa kuwa mboga mboga bado wapo sana mpa ripoti ile unasahau kabisa yoooooo ni fire 🔥 😅

Ni derby gani ulikutana nayo ukasema hapa umechezwa mpira mkubwa? 😉

NB: Wanaume hakuna kiba 100, ila tu unakutana na nani 👍
Wanaume wengi hawana shida ya nguvu za kiume, shida ni kitete tu au mazingira sio mazuri.

Ni weekend yoooo… chill, relax, enjoy 😎
Kesho kazi na dawa
Kutafuta mkate👍
Kwanza unaongelea derby ipi mkuu?
 
Naam mhaini kwenye moja na mbili😂
 
Back
Top Bottom