Depo raha sana!!

hahahaha nimecheka aisee! hii mitoto nikuburuza tu mkuu. akirudi mwenyewe atasema asante. Hiyo shuguli ya magazine, imenikumbusha waliokua wanasababisha moto kwenye lile shamba la miti la taifa, dah tulikua tunakoma maafande sijui na gongo zao sigara wanawasha moto makusudi aisee at least mara moja kwa wiki mbili kwenda kuzima moto kwa majani saa saba za usiku mpaka 11.

kama umepita lile eneo la mafinga kwenda mbeya baada ya iringa nadhani unajua lile sshamba la miti ile inawaka kama karatasi wakati ni mibichi....ni changa moto kwelikweli.
 


Duh, aiseeeeee.....umenivunja mbavu mno....duh, Mafinga naifahamu sana tena sana.....Duh,....hahahahaaaaaah...Asante sana...Duh, stori za zamani safi sana......
 
Samahani lkn wajuzi wa mambo haya, hivi kweli huyo ni afande?hiyo kofia imevaliwa sahihi?
 
sasa ile tupo master parade halafu ndio ile sio akatangaza kuwa leo tutalala hatukesh na route ya chai kuifuata kuponi haitakuwepo watu tukafurahi kinouma nouma.sasa mda wa kuondka co amepigisha mguu pande mguu sawa ili amalize tusepe,sasa c kuna bwege mmoja alikuwa anatembea katikat ya mstari anahama position dah co akamind kinouma ikabidi cku hyo tukeshe na rout ya chai iwepo tena kuelekea kabuku(zaid ya km12 kwenda).
 
Bahat yake beret sio ya tz angechukuliwa hatua Kali sana za kisheria
 
Nahisi mkuu ulikuwa kati ya pale 841 kj au 832 kj
 

Uwanja wa damu pale nini. Ilifika mida ya mzabuni ndo utamjua ngurutu na mdudu gani. OP Kikwete KJ 835
 
Ukikutana na mrembo kama huyu ni kujifanya wewe ni gaidi kabisa ili akushikilie muda mrefu zaidi kwa uchunguzi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha..dah Jf sijui watu mmesomea vituko[emoji23]
 
Mtoto kama huyu akikuambia anaomba sukari kilo tatu unanunua tu kwa moyo mkunjufu.
 
Huyu wa nkurunziza, believe me, angalia crown kwenye belet
 
Depo mama depo......
Depo mama si ng'aing'ai......
Nikimaliza depo nikamuone mamaa.....
 
Depo mama depo......
Depo mama si ng'aing'ai......
Nikimaliza depo nikamuone mamaa.....
Nalia nasikitika omamaaa.., nalisaka gamba langu silioniii...

Hilo gamba mpaka kulipata, linapelekea machizi ku....
 
Nalia nasikitika omamaaa.., nalisaka gamba langu silioniii...

Hilo gamba mpaka kulipata, linapelekea machizi ku....
Torokaaa, na wewe na yulee amepata wapi wa kucheza naeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…