nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
duh siku sita zote lupango.je sheria kweli zinafuatwa?
hii ndio jf bana,anaeota kuagiza malaika wa kuizima mungu hata ruhusu kamweDah siku 8 mahabusu umetoka na kitabu... Lema anaemaliza miezi 4 nadhani atafungua tv station!!!
Huyu jamaa anahitaji kutibiwa !Ndugu Watanzania wenzangu na binadam mnaopenda maendeleo, nilikamatwa siku ya Alhamis tarehe 24 February 2017 kazini kwangu Mkolani sekondari mbele ya Makamu Mkuu wa shule na baadhi ya waalimu na kupelekwa kituo cha Polisi Central cha Jijini Mwanza kwa mahojiano na pia siku hiyohiyo niliwekwa lupango/sello na nimekaa Sello tangu tarehe 24 February 2017 na nimeachiwa leo kwa dhamana tarehe 2 marchi 2017 jioni hii kwa msaada wa ndugu zangu.
Mungu awabariki sana kwani nimekaa Lupango kwa siku 8, huku watu wakiogopa kuniwekea mdhamana kwa vitisho kutoka kwa watu mbalimbali. Kosa langu nimetuhumiwa "KUTUMIA VIBAYA MITANDAO YA KIJAMII HASA FACEBOOK" mengi sitayazungumza leo mpaka kesi itakapoanza lakini kiuhalisia hakuna kesi zaidi ya uonevu.
Aidha simu zangu zote mbili hazitakuwa hewani(Vodacom na Tigo) zimeshikiliwa kwa uchunguzi zaidi, poleni mtakaonitafuta bila mafanikio, pia ni njia ya kunifanya NITAFAKARI UPYA na kuanza upya. Maana naweza kurudishwa tena muda wowote kwa kesi nyingine ambayo sijajua.
Aidha nimejifunza mambo mengi sana nilipokuwa Lupango na pia nilipata ushirikiano mzuri sana na mahabusu wenzangu na kujua mengi sana, ambayo yatakuja kwenye kitabu changu "MAISHA YA MAHABUSU" ambacho nitakuwa naishauri Serikali kubadili mazingira ya mfumo wa selo na kufanya maboresho, yote haya yatafanyika kwa nia njema ili kuijenga Serikali yetu ya awamu ya tano. Ni lazima tuikosoe Serikali kwenye mambo mhimu ili iweze kujirekebisha na kufanya upya.
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.
2 march 2017
😀😀😀😀😀Dah siku 8 mahabusu umetoka na kitabu... Lema anaemaliza miezi 4 nadhani atafungua tv station!!!
Siwapendi wanaoanzisha vyama vipya kuchelewesha Uhuru Wa tzHa ha ha, ndo maana nilikuwa simuoni humu, hata taarifa tulikuwa hatuna ina maana hana ndugu ambao walikuwa wanajua taarifa hizi mpaka aje atoe mwenyewe. Hicho chama ambacho anatarajia kukianzisha ina maana hakina wanamkakati?
Hahaaaaaaa karibu tena mahabusuNdugu Watanzania wenzangu na binadam mnaopenda maendeleo, nilikamatwa siku ya Alhamis tarehe 24 February 2017 kazini kwangu Mkolani sekondari mbele ya Makamu Mkuu wa shule na baadhi ya waalimu na kupelekwa kituo cha Polisi Central cha Jijini Mwanza kwa mahojiano na pia siku hiyohiyo niliwekwa lupango/sello na nimekaa Sello tangu tarehe 24 February 2017 na nimeachiwa leo kwa dhamana tarehe 2 marchi 2017 jioni hii kwa msaada wa ndugu zangu.
Mungu awabariki sana kwani nimekaa Lupango kwa siku 8, huku watu wakiogopa kuniwekea mdhamana kwa vitisho kutoka kwa watu mbalimbali. Kosa langu nimetuhumiwa "KUTUMIA VIBAYA MITANDAO YA KIJAMII HASA FACEBOOK" mengi sitayazungumza leo mpaka kesi itakapoanza lakini kiuhalisia hakuna kesi zaidi ya uonevu.
Aidha simu zangu zote mbili hazitakuwa hewani(Vodacom na Tigo) zimeshikiliwa kwa uchunguzi zaidi, poleni mtakaonitafuta bila mafanikio, pia ni njia ya kunifanya NITAFAKARI UPYA na kuanza upya. Maana naweza kurudishwa tena muda wowote kwa kesi nyingine ambayo sijajua.
Aidha nimejifunza mambo mengi sana nilipokuwa Lupango na pia nilipata ushirikiano mzuri sana na mahabusu wenzangu na kujua mengi sana, ambayo yatakuja kwenye kitabu changu "MAISHA YA MAHABUSU" ambacho nitakuwa naishauri Serikali kubadili mazingira ya mfumo wa selo na kufanya maboresho, yote haya yatafanyika kwa nia njema ili kuijenga Serikali yetu ya awamu ya tano. Ni lazima tuikosoe Serikali kwenye mambo mhimu ili iweze kujirekebisha na kufanya upya.
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.
2 march 2017
Hakuna haja ya kumpa pole. Alienda kwa makusudi ili apate uzoefu na maisha halisi ya Selo katika kukamilisha mkakati wake wa kuandika kitabu
Ha ha ha, ndo maana nilikuwa simuoni humu, hata taarifa tulikuwa hatuna ina maana hana ndugu ambao walikuwa wanajua taarifa hizi mpaka aje atoe mwenyewe. Hicho chama ambacho anatarajia kukianzisha ina maana hakina wanamkakati?