denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Kwenye kupata hiyo two ya mwaka moja, kuna mawiliUnaweza kukaa miaka kumi lakini usijifunze chochote. Unaweza kusoma miaka minne Form one mpaka four na ukapata zero lakini shemeji yako akasoma mwaka mmoja tu na akapat two.
Mosi kuvujishwa kwa mtihani
Pili ulisomea mtihani, either kwa kukalili au kuzama na kibomu, lakini sio kusoma kwa kuelewa masomo yote na topic zake ya miaka 4 kwa mwaka moja na ukafaulu hivyo.
Kama ndivyo kusingekuwa na haja ya kusoma miaka 4.