Deogratius Kisandu nimetoka rumande/mahabusu leo

Deogratius Kisandu nimetoka rumande/mahabusu leo

Walikua wanamkata wenge...sisi machalii tunasemaga hivyo...na inaonekana wenge limekata
 
Hakuna haja ya kumpa pole. Alienda kwa makusudi ili apate uzoefu na maisha halisi ya Selo katika kukamilisha mkakati wake wa kuandika kitabu
Mmh! Kwa hiyo hao polisi walienda kumkamata ni vichaa ama?
 
Ahahah free mtemi kiongozi deogratius kisandu ahahahah
 
Niliponea chupuchupu kuanzisha uzi humu, kuwa Deo yupo wapi?! !!
Kumbe ulikuwa lupango, maaaskinii!!
Hivi kwani wewe ngada unaijua..?

nilipelekwa kwa kosa la mitandao ya kijamii.
 
Hivi wewe kisandu kwanini unajihusisha na siasa waziwazi ilihali wewe ni mtumishi wa umma?
Chagua moja kati ya utumishi wa umma au siasa
 
Wee jamaa wanaokukamata wanakosea pakukupeleka, wewe sio wa lupango ila ni wa Mirembe
 
Mbona wanafunzi wana kazi kwa kuwa na Mwalimu Kisandu
 
Back
Top Bottom