Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

Kichwa cha habari kisomeke amestaafu, siyo kujiuzuru. Maneno yako na ya kwenye barua uliyoambatanisha ni vitu viwili tofauti.
 
Kwani barua za kustaafu huandikwa kwa kuelezea historia ya mtu?
 
Deo Mjanja, kausoma Mchezo mzima. Amegundua kuwa Tanzania inaenda kulia muda si mrefu kwa Kuwaingiza hasara BARICK kisa ujinga wa viongozi wetu na soon Tz inapelekwa Mahakama za Kimataifa.
Baada ya Kusoma Upepo kuwa hasira za Jiwe zitaishia kwake, kaamua ajiondoe mapeema! Asomae na aelewe sasa!
 
Deo Mjanja, kausoma Mchezo mzima. Amegundua kuwa Tanzania inaenda Julia muda si mrefu kwa Kuwaingiza hasara BARICK kisa ujinga wa viongozi wetu na soon Tz inapelekwa Mahakama za Kimataifa.
Baada ya Kusoma Upepo kuwa hasira za Jiwe zitaishia kwake, kaamua ajiondoe mapeema! Asomae na aelewe sasa!

Inaoenekana kama kuna kweli fulani hivi......!!!
Hii bila shaka itakuwa kama HUKUMU YA TANESCO KUWALIPA BARCLAYS DOLARI MILIONI 400+( karibia BILIONI 700) Mwee.....mwee....mwee!! Tujiandae na MGAWO WA UMEME wa masaa 24/7...!!!
 
Take home yake ilikuwa zaidi ya USD 30,000.00 kwa mwezi,hela aliyopata kwa miaka 17 ya kazi inamtosha kuwa kati ya Mabilionea Tanzania,Msigwa jiandae Iringa 2020....
 
Mkuu, huo ndiyo Ukweli! Lisu alitahadharisha, matokeo yake akapangiwa Kuuwawa! Tatizo Jiwe hataki Kuabiwa Ukweli!
 
Take home yake ilikuwa zaidi ya USD 30,000.00 kwa mwezi,hela aliyopata kwa miaka 17 ya kazi inamtosha kuwa kati ya Mabilionea Tanzania,Msigwa jiandae Iringa 2020....
Aliyekwambia Deo Mwanyika ana Interest na Iringa nani? Mtu yupo Njombe na anaishi hapo, aende Iringa kugombea Ubunge ili iwaje na wakati yeye kwao Njombe na pia ni Mkaazi wa Njombe?

Kingine unajua ni namna gani Jiwe ana Chuki na Deo? Acha Mihemko Mkuu.
 
Wishing Deo all the best in his post employment life. God Bless you Deo.
 
angekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo
Wewe sio mtanzania na hutawai kuwa mtanzania !
That’s all
 
Back
Top Bottom