B Babake mwanaidi JF-Expert Member Jul 25, 2017 641 693 Aug 28, 2018 #4 Sawa nafasi yake kachukua nani? Sent using Jamii Forums mobile app
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Dec 29, 2014 15,271 29,879 Aug 28, 2018 #7 Watu washapiga pesa nw wanasepa Aithee bongo shamba kweri nimeamin Sent using Jamii Forums mobile app
Watu washapiga pesa nw wanasepa Aithee bongo shamba kweri nimeamin Sent using Jamii Forums mobile app
D DrLove69 JF-Expert Member Jan 20, 2018 3,112 3,481 Aug 28, 2018 #8 Babake mwanaidi said: Sawa nafasi yake kachukua nani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanamwita SUGU.
Babake mwanaidi said: Sawa nafasi yake kachukua nani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanamwita SUGU.
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,783 28,800 Aug 28, 2018 #10 Mazungumzo hayajafikia wanaanza jitoa
S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 46,998 144,329 Aug 28, 2018 #12 Hata kishika uchumba hatujapewa jamani!!
Kertel JF-Expert Member May 11, 2012 5,267 4,973 Aug 28, 2018 #13 Kwahiyo anaunga mkono juhudi? Sent using Jamii Forums mobile app
B Babake mwanaidi JF-Expert Member Jul 25, 2017 641 693 Aug 28, 2018 #14 jingalao said: Karibu panakucha Click to expand... Mwenyekiti wa kamati ya bunge na makamu wake nao wamejiuzulu Sent using Jamii Forums mobile app
jingalao said: Karibu panakucha Click to expand... Mwenyekiti wa kamati ya bunge na makamu wake nao wamejiuzulu Sent using Jamii Forums mobile app
S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 46,998 144,329 Aug 28, 2018 #15 Wachina wanakaribia kuchukua hatamu.
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,377 217,440 Aug 28, 2018 #16 Salary Slip said: Hata kishika uchumba hatujapewa jamani!! Click to expand... mtasubiri sana !
Sungusela JF-Expert Member Aug 12, 2018 681 485 Aug 28, 2018 #17 Tunasubiri yajayo ! Maana si bure ! Early retirement ?
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,597 215,270 Aug 28, 2018 #19 Hivi wanaume wameshatupa kishika uchumba?
MAKOSHNELI JF-Expert Member Apr 22, 2011 930 1,552 Aug 28, 2018 #20 angekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo
angekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo