mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,856
- 136,751
Ina maana kufunguka kwangu ntakuwa nawasanua jamaa basi ngoja niishie hapaMkuu naona unaendeleza usiseme hivyoo kuna mtu aliamini yeye akiipata nafasi ile ndo atakua anakula mpunga mrefu bongo nzima si umeona alivyojua jamaa wa nyumba anavuta pesa si mchezo akaanza zengwe mara standardization ya mishahara makelele mengi kumbe wivu unamsumbua
Teh teh
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app