Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

Basi mimi pia ni conclude kwa kifupi sana kwamba Deo Mwanyika ni Jizi kama majizi mengine na wazungu wameshamtumia sana kutulaghai sis waafrika na sasa wameamua kum dump.Shame on him and his family
 
Ameiba kiasi gani? Alikuwa anaibaje? Amepiga hela kiasi gani? Amekwepa kodi kwa namna gani? Amekwepa kodi ipi? Amekwepa kodi kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, naomba nikuulize.....
Hivi uliwahi kufanya kazi na Deo?
Mimi binafsi nimefanya kazi na Deo Mwanyika, tena kuanzia akiwa bado ni mwanasheria wa iliokua Kahama Mining Corporation Limited (KMCL), nakisha Barrick Gold Mining Limited (BGML), nakisha African Barrick Gold (ABG) kabla ya kuitwa Accacia, na hata Deo Mwanyika kufikia cheo cha juu cha Vice President

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we ulifanya kazi na smbdy "langas "

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakazi wa Barrick miaka ile walikua wakidai haki zao za msingi, na hii ilitokea baada ya wafanyakazi wa migodini kutambua haki zao ambazo walipaswa kuzipata kwenye mikataba ya mwanzo kabisa ambayo Barrick walikuja nayo Tz.
Baada ya watu wachache wenye tamaa wakishirikiana na Deo Mwanyika, walibadilisha mikataba ile na kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo vilikuwa vikiwaongezea watumishi wa migodi ya Barrick Tz kupata umate umate wa haja kutokana na kazi ngumu/mazingira hatarishi.
Wafanyakazi wa Barrick Bully waliwahi kufanya mgomo kutokana na kifo cha mchimbaji kilicho tokana na mazingira tatanishi, na hiyo ni baada ya marehemu kuto onekana kwa muda wa siku kadhaa.... Deo Mwanyika alikuja akafanya mambo ya hovyo pamoja na kutoa kauli za kukatisha tamaa kabisa.
Deo huyu huyu ndie alie ishauri management vibaya na hata kupelekea kutokulipwa kwa vifo vya baadhi ya watumishi vilivyo tokea wakiwa ndani ya mgodi.
Deo Mwanyika alipenda kujinufaisha yeye binafsi na hata alifikia hatua ya kujiona kwamba yeye sio mTz mana hata mtu mweusi tena.


Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia bonge la bepari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This was a conduit probably....hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Back
Top Bottom