Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

Ndio yeye chief.....
Nakumbuka mwaka 2004, niliwahi kumponda na empty foil ya chakula cha Sodexho, baada ya kuja kutuliza mgomo tulio ufanya pale Bullyanhulu. Sasa GM alipo omba kuongea na wafanyakazi, Deo akaombwa atafasiri kwa lugha ya kiswahili ili GM ainde sawa na wafanyakazi ambao walikua kidogo lugha ya bepari inawasumbua.... Jamaa hajatuingiza choo cha watoto...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapo ndipo nilipo patwa na jazba, na kisha nikapaza sauti kwa nguvu nikasema.... MUONGO MKUBWA WEWE, EBU TEREMKA HAPO JUU NA USITUFANYE SISI WAJINGA na kisha nikamponda na ile foil

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza tupa statement mkuu tuone mzawa akiwauza wazawa wenzake kwa mbepari. Hyo ya kimombo na alivyoibadili kwenda kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa fala sana! Kawauza watanzania wengi mno waliokuwa wanafanya kaz acacia! Afu yeye ndiyo chanzo cha yote hayo! Japo umetoka lkn umevuna ila tutakutana kwa MUNGU mpima Haki kwa Wote! F..c[emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni maneno ya umbeya. Hivi ni kitu gani kibaya specificaly alichokifanya ndani ya kampuni au nje ya kampuni?

Baadhi ya Watanzania wana roho za kishetani. Wakiona mtu yeyote ana mafanikio wanamjengea chuki za wivu bila sababu yoyote ile.

The truth is Deo is super intelligent. Ndiyo maana ukiangalia record yake, hajawahi kufanya kazi za kubahatisha, hajawahi kuhangaika kutafuta kazi. Sitashangaa kusikia siku yoyote yupo mahali pengine Duniani tena kwa nafasi hata ya juu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo si ndy mbongo aliyekuwa anakula mshahara mkubwa kuliko mtz yoyote mshahara wake tu mawazir na--- hawamfiki

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe, unaona Waziri ni mtu muhimu sana hata alipwe mshahara mkubwa kuliko internatuonal professionals? Mbona kuna watanzania wanalipwa hata zaidi ya Rais? Hata kwa mataifa yaliyoendelea kama USA, wapo wataalam na CEOs wanaolipwa zaidi ya Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kavurunda kwenye makanikia,wameachana.nae
Unaongea usichokijua.

Barrick wanamhitaji sana. Yeye baada ya kuona kwenye makinikia kulikuwa na siasa nyingi aliomba asishiriki katika lolote. Na ndivyo alivyofanya. Akaomba apumzike tangu mwakajana. Barrick ndio walikuwa wazito kuridhia ombi lake.

Wale wasiojua wanaweza kuropoka chochote lakini Deo, his level worldwide si kama baadhi wanavyofikiria. He can be at any level in any part of the globe. Mtabakia na majungu na wivu ambao haukusaidii kuongeza hata hatua moja kwenda mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulikuwa kwenye bodi hapo acacia?
Au ulikuwa operator wa dumper na drill rig kule pit?

Sent using Jamii Forums mobile app
Operator wa dumper au drill rig anahusikaje na Vice President? Aliye karibu na operator ni supervisor wake. Operator is too junior to assess performance of the VP. Hata kwenye perfirmance assessment ya VP hawezi kuulizwa operator.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza tupa statement mkuu tuone mzawa akiwauza wazawa wenzake kwa mbepari. Hyo ya kimombo na alivyoibadili kwenda kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi wa Barrick miaka ile walikua wakidai haki zao za msingi, na hii ilitokea baada ya wafanyakazi wa migodini kutambua haki zao ambazo walipaswa kuzipata kwenye mikataba ya mwanzo kabisa ambayo Barrick walikuja nayo Tz.
Baada ya watu wachache wenye tamaa wakishirikiana na Deo Mwanyika, walibadilisha mikataba ile na kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo vilikuwa vikiwaongezea watumishi wa migodi ya Barrick Tz kupata umate umate wa haja kutokana na kazi ngumu/mazingira hatarishi.
Wafanyakazi wa Barrick Bully waliwahi kufanya mgomo kutokana na kifo cha mchimbaji kilicho tokana na mazingira tatanishi, na hiyo ni baada ya marehemu kuto onekana kwa muda wa siku kadhaa.... Deo Mwanyika alikuja akafanya mambo ya hovyo pamoja na kutoa kauli za kukatisha tamaa kabisa.
Deo huyu huyu ndie alie ishauri management vibaya na hata kupelekea kutokulipwa kwa vifo vya baadhi ya watumishi vilivyo tokea wakiwa ndani ya mgodi.
Deo Mwanyika alipenda kujinufaisha yeye binafsi na hata alifikia hatua ya kujiona kwamba yeye sio mTz mana hata mtu mweusi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni maneno ya umbeya. Hivi ni kitu gani kibaya specificaly alichokifanya ndani ya kampuni au nje ya kampuni?

Baadhi ya Watanzania wana roho za kishetani. Wakiona mtu yeyote ana mafanikio wanamjengea chuki za wivu bila sababu yoyote ile.

The truth is Deo is super intelligent. Ndiyo maana ukiangalia record yake, hajawahi kufanya kazi za kubahatisha, hajawahi kuhangaika kutafuta kazi. Sitashangaa kusikia siku yoyote yupo mahali pengine Duniani tena kwa nafasi hata ya juu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba nikuulize.....
Hivi uliwahi kufanya kazi na Deo?
Mimi binafsi nimefanya kazi na Deo Mwanyika, tena kuanzia akiwa bado ni mwanasheria wa iliokua Kahama Mining Corporation Limited (KMCL), nakisha Barrick Gold Mining Limited (BGML), nakisha African Barrick Gold (ABG) kabla ya kuitwa Accacia, na hata Deo Mwanyika kufikia cheo cha juu cha Vice President

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea usichokijua.

Barrick wanamhitaji sana. Yeye baada ya kuona kwenye makinikia kulikuwa na siasa nyingi aliomba asishiriki katika lolote. Na ndivyo alivyofanya. Akaomba apumzike tangu mwakajana. Barrick ndio walikuwa wazito kuridhia ombi lake.

Wale wasiojua wanaweza kuropoka chochote lakini Deo, his level worldwide si kama baadhi wanavyofikiria. He can be at any level in any part of the globe. Mtabakia na majungu na wivu ambao haukusaidii kuongeza hata hatua moja kwenda mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwakifupi sana naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.... Deo Mwanyika alikua MAMLUKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwakifupi sana naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.... Deo Mwanyika alikua MAMLUKI

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumsema mtu kwa chochote mpaka uthibitishe. Leo hii mimi naweza kusema mtu yeyote ni mamluki kwa sababu hakuna kinachonizuia kusema lakini mtu makini atasema kuwa mtu fulani anafanya mambo yafuatayo: ......... Kisha watu wataweza kujua kama ni mamluki au hapana. Kusema tu mtu fulani ni mamluki bilabya kueleza anafanya nini, ni uropokaji.

Kusema tu mtu ni mamluki inadhihirisha ile tabia ya ovyo ya baadhi ya watanzania kupenda kuropoka, kufitini na gossiping.

If you want to be smart, ogopa kuwa mtu wa kuropoka au majungu.

Nimefanya kazi Barrick mpaka kwenye senior levels. Namfahamu Deo tangu akiwa Secretary General wa PSRC iliyokuwa ikifanya kazi na WB. Namfahamu kuwa ni among very few smart Tanzanians.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deo Mjanja, kausoma Mchezo mzima. Amegundua kuwa Tanzania inaenda kulia muda si mrefu kwa Kuwaingiza hasara BARICK kisa ujinga wa viongozi wetu na soon Tz inapelekwa Mahakama za Kimataifa.
Baada ya Kusoma Upepo kuwa hasira za Jiwe zitaishia kwake, kaamua ajiondoe mapeema! Asomae na aelewe sasa!
wewe ni Jiniasi kama Mh. Tundu Lissu, big up mkuu!
 
Mkuu, naomba nikuulize.....
Hivi uliwahi kufanya kazi na Deo?
Mimi binafsi nimefanya kazi na Deo Mwanyika, tena kuanzia akiwa bado ni mwanasheria wa iliokua Kahama Mining Corporation Limited (KMCL), nakisha Barrick Gold Mining Limited (BGML), nakisha African Barrick Gold (ABG) kabla ya kuitwa Accacia, na hata Deo Mwanyika kufikia cheo cha juu cha Vice President

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo unahitimishaje hoja yako?Mimi nilitegemea unatoa wasifu wa Deo kama alivyomchambua mwenzako lkn umeishia tu kuwa ulifanya kazi naye then what!hadithi hizo hatutaki kuzisikia watu wamepiga pesa zetu halafu hata hawatuelezi kwa nn wanaacha kazi.nadhani hao na wengine wenye issues kama hizo wachunguzwe kujua credibiliy zao.hata uwe na madigrii mangapi kama sio mzalendo tunapaswa kujiuliza.kuna mchangiaji huko aliwahi uliza UDSM kuna nn baada ya kuona kashfa nyingi zilizoibuliwa walipitia UDSM.Mm sitaki kwenda huko na cjui kama naye Deo alisomea huko na wakati mwingine tabia mbaya zinaendana na koo wanazotoka.
 
Wale wasiojua wanaweza kuropoka chochote lakini Deo, his level worldwide si kama baadhi wanavyofikiria. He can be at any level in any part of the globe. Mtabakia na majungu na wivu ambao haukusaidii kuongeza hata hatua moja kwenda mbele.
Hawezi kupata kazi kwenye kampuni za watu makini sio kwa wizi ule wa kitoto na ukwepaji kodi wa kutisha
Amepiga hela nyingi atatumia mpaka mwisho wa uhai wake lakini hawezi kupata kazi kama ile labda awe consultant wa kuiba jinsi ya kuiba madini na kukwepa kodi
 
Back
Top Bottom