Muulize Prof Palemahala KibuduUki
tupatia na ushahidi utakuwa ni ji-great thinker otherwise ni maneno ya kwenye kanga
umbea wa kike wa tandale.Deo Mwanyika ndio alikuwaga anampatia Tundu Lisu zile Print out ambazo walisema Tz itanyolewa bila ganzi na Barrick kwenye yale makinikia
Wachina wakiingia humo watachimba chini kwa chini mpaka mbugani Serengeti na pengine mpaka ngorongoro, Wachina hawana huruma n mazingiraWachina wanakaribia kuchukua hatamu.
ndio ujinga wenu mkiambiwa ukweli mnatufuta na uraia kabisa majinga sana nyieWewe sio mtanzania na hutawai kuwa mtanzania !
That’s all
Hawa walikuwa kwenye 20-25m per month
Mkuu, wewe haumjui huyu nyoka alie dhiriki kuwauza waTanzania kwa bepari, na Deo Mwanyika alichangia kwa kiasi kikubwa nchi kupoteza mapato stahikiangekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo
How sure are you....[emoji53] [emoji45]Deo Mwanyika ndio alikuwaga anampatia Tundu Lisu zile Print out ambazo walisema Tz itanyolewa bila ganzi na Barrick kwenye yale makinikia
Alikua mama wa nyumbani....tehteehh [emoji12] [emoji12]Kwani alikuwa mtumishi wa umma au kampuni binafsi?
Naunga mkono hojaHuyu jamaa fala sana! Kawauza watanzania wengi mno waliokuwa wanafanya kaz acacia! Afu yeye ndiyo chanzo cha yote hayo! Japo umetoka lkn umevuna ila tutakutana kwa MUNGU mpima Haki kwa Wote! F..c[emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio alikuwa anatunga miswada ya sheria zinazowapa hawa wawekezaji loopholes za kutuibia pale Bungeni?kama angetuuza kwenye mapato stahiki na kama kuna ushahidi si wangemkamata na wamfilisi kabisa? au ndio maneno ya kuaminishana tu jamaa mwizi mwizi! alikuwa anafanya kazi chini ya sheria zilizotungwa na sisi wenyewe kupitia wabunge wetu pale dodoma yeye alikuwa mtekelezaji tu au ulitegemea awe anaenda wizarani anatoa taarifa za siri za hili kampuni kuhusu ukwepaji kodi ? kitu kama hicho alikuwa anakifanya Tundu Lissu ila kwa bahati mbaya yupo kwa akina lukaku anatibiwa,Mkuu, wewe haumjui huyu nyoka alie dhiriki kuwauza waTanzania kwa bepari, na Deo Mwanyika alichangia kwa kiasi kikubwa nchi kupoteza mapato stahiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio yeye chief.....Huyo si ndy mbongo aliyekuwa anakula mshahara mkubwa kuliko mtz yoyote mshahara wake tu mawazir na--- hawamfiki
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnajuwa tupo gizani... WIKI ILIYOPITA TUMESHINDWA KESIKaribu panakucha