squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Aende kenya.angekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo
Aende kenya.angekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo
Hivi wanaume wameshatupa kishika uchumba?
Aisee usiseme hivyo mkuu kuna jamaa ana roho ya kwanini hapendi kusikia mtu ana hela anataka yeye tu ndo awe na hela aisje akamuwekea zengwe jamaa akageuka kapuku
Unaongea usilolijua wewe kaa kimya, sio lazma uchangie Kila post!angekuwa ni Mkenya wangempa wizara ya madini aiongoze sababu ya uwezo na uzoefu alionao ila kwa kuwa ni mtz hapa ataonekana ni msaliti na sio mzalendo
Mpuuz thana yule jamaaaaDeo Mwanyika ndio alikuwaga anampatia Tundu Lisu zile Print out ambazo walisema Tz itanyolewa bila ganzi na Barrick kwenye yale makinikia
Huyo si ndy mbongo aliyekuwa anakula mshahara mkubwa kuliko mtz yoyote mshahara wake tu mawazir na--- hawamfikiAisee usiseme hivyo mkuu kuna jamaa ana roho ya kwanini hapendi kusikia mtu ana hela anataka yeye tu ndo awe na hela aisje akamuwekea zengwe jamaa akageuka kapuku
Mkuu naona unaendeleza usiseme hivyoo kuna mtu aliamini yeye akiipata nafasi ile ndo atakua anakula mpunga mrefu bongo nzima si umeona alivyojua jamaa wa nyumba anavuta pesa si mchezo akaanza zengwe mara standardization ya mishahara makelele mengi kumbe wivu unamsumbuaHuyo si ndy mbongo aliyekuwa anakula mshahara mkubwa kuliko mtz yoyote mshahara wake tu mawazir na--- hawamfiki
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hata mataifa makubwa kama SAfrica, Australia, etc kwao ni asset.Aende kenya.
Leta ushahidi acha kufyatuka kama teja kaona simu inachungulia kwenye mkoba wa sista duu.Huyu jamaa fala sana! Kawauza watanzania wengi mno waliokuwa wanafanya kaz acacia! Afu yeye ndiyo chanzo cha yote hayo! Japo umetoka lkn umevuna ila tutakutana kwa MUNGU mpima Haki kwa Wote! F..c[emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulikuwa kwenye bodi hapo acacia?Unaongea usilolijua wewe kaa kimya, sio lazma uchangie Kila post!
Sent using Jamii Forums mobile app
tupatia na ushahidi utakuwa ni ji-great thinker otherwise ni maneno ya kwenye kangaDeo Mwanyika ndio alikuwaga anampatia Tundu Lisu zile Print out ambazo walisema Tz itanyolewa bila ganzi na Barrick kwenye yale makinikia