Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya. msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
Utakuwa hujakosea HATA JK ALIMPA MCHAGA MBATIA UBUNGE KWA UPENDELEO...sijui kwa nini hakumpenda hata m..k;;w,,e..re mwenzie zaidi ya mwanae na Mbatia......mtaumia na kuumiza sana watu kuliko kukiri wachaga wapo mbali sana ukilinganisha na nyie...ILA DAYS ARE COMING very Soon,...mtakiri kwa vinywa vyenu......wachaga walisha kaa mbali sana kwa nyie kufikia.
 
nikijiangalia mimi personally kuna wachaga wengi sana waliochini yangu na wengine wanawajibika kwangu kabisa. kwa hiyo hiyo kuwa mbali kwangu mimi hainihusu hata kama ni shule naamini level niliyonayo ni wachache tu waliofika. so I do not care.
lakini pia ni declare interest zangu tu bwana nicholas over 40% ya marafiki zangu ni wachaga, tena sio marafiki tu bali marafiki kabisa wa moyoni na akipata tatizo naumia kama limempata ndugu yangu, huwezi amini maneno haya pamoja na kuwaponda kote huku kwenye mitandao. tatizo hapo sio uchaga kwangu. ni chadema, ngoja tu nikuweke wazi. naichukia kwa dhati kabisa kutoka moyoni na hasa chadema-saccos hii ya sasa. siipendi ccm kwa kweli ila siipendi chadema zaidi hata ya mara 10 ya ccm. chadema ingekufa hata leo kwangu mimi ni poa tu.
 
mwamkp wa kisiasa hapa tanzania uko Kilimanjaro na utambue kilimanjaro kuna makabila mengi tu mfano kilewo siyo mchaga ni mpare na kwa taarifa yako kati ya vyama vya kisiasa kitoka kilimanjaro yaani mwenyevito ni zaidi ya saba, mimi ni msukuma lakini nikiangalia mwamko wa wasukuma uko wilaya moja tu bariadi kule mtu yuko tayaribkisafiri kwenda kumpigia mbunge wake kura lakini angalia chalinze 90 000 wakapiga kura 21000..je huwa mnajiyokeza kuwania nafasi kwenye vyama vya siasa au ulitaka ufatwe nyumbani kwako...
 
Abunuas akili yako haina akili haona yofauyi na ua mwenyekiti wa ccm...
 
Last edited by a moderator:
Deo Munisi!!
Ndio yule kipa wa Yanga anaejiita DIDA?
 
we msukule sikiliza bana. henche ni bavicha chair taifa, mimi naongelea mkoa wa Dar, rudia usome uzi wangu. nashangaa hata hao sita kadhaa uliowataja umesahau kuwa Tz kuna makabila zaidi ya 120 lakini katika 6 at least lazima mchaga awepo kwa mujibu wa data zako. halafu hilo baraza la wazee lisilo na mchaga ni lipi? kwani mzee mtei ni mgogo? tuache kutaniana bana, ukweli mbele daima.

Yaani ukisikia mbwiga namba moja ndio wewe. viongozi wa Dar huwajui na hata wa taifa huwajua kwa hiyo hata uzi wako ni wa kimbwiga. Tangu lini Munishi akawa kiongozi wa Dar?
 
mwamkp wa kisiasa hapa tanzania uko Kilimanjaro na utambue kilimanjaro kuna makabila mengi tu mfano kilewo siyo mchaga ni mpare na kwa taarifa yako kati ya vyama vya kisiasa kitoka kilimanjaro yaani mwenyevito ni zaidi ya saba, mimi ni msukuma lakini nikiangalia mwamko wa wasukuma uko wilaya moja tu bariadi kule mtu yuko tayaribkisafiri kwenda kumpigia mbunge wake kura lakini angalia chalinze 90 000 wakapiga kura 21000..je huwa mnajiyokeza kuwania nafasi kwenye vyama vya siasa au ulitaka ufatwe nyumbani kwako...
Karibu mkuu mi niko Nanga Centre-kanadi CCM kwetu mwiko ila nahsi 2015 majitu haya yanaweza yakatwaa jimbo tena coz UDP imeisha na Chadema ni chama cha kikanda na ukabila
 
Watu kama wewe unasumbuliwa na ugonjwa mkubwa sana uitao WIVU WA KIJINGA! Huu ugonjwa huwapata watu wavivu, waliopoteza muda wao wa ujana wa kujiandaa katika maisha. Ni ugonjwa ambao tiba yake hakuna! Kwa ajili hii ninakuhurumia tu. Pamoja na hayo ngoja nikutoneshe- Utasemaje sasa kuhusu uongozi wa mkoa na wilaya - kule Ilala yuko Mushi, kule Bukoba Massawe, Tarimo - Kilosa, nk halafu utasema Moshi Chang'a yule aliyekuwa Mbeya na sasa Mkalama ni Mchagga pia!

Ila ukiona orodha mpya ya viongozi wa taifa wa kuteuliwa itakusumbua sana kuona wamejaza wakina mama na wenye majina kiashiria fulani na bahati mbaya utendaji wao wa kazi unatia mashaka- lakini hatusemi hili- maana ni positive discrimination inayotegemea kuleta mabadiliko ya kuridhisha watu kama wewe
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

Mawazo kama haya daima hayawezi kulisaidia taifa hili zaidi ya kulisambaratisha.
Mawazo kama haya ya kuanza kumbagua huyu na yule kwa kabila lake ama dini yake ni mawazo mufilisi yasio na chembe ya msaada wowote kwa hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili watanzania hususani vijana.

Ieleweke, viongozi BAVICHA wanapatikana kwa misingi ya kidemokrasia na hawa waliokp sasa hivi waligombea wakashindana na vijana wengine na wao wakashinda na sasa wanawahudumia vijana kwa nafasi zao.

Ieleweke mkutano mkuu wa BAVICHA unaundwa na vijana kutoka majimbo, wilaya na mikoa yote ya Tanzania kama ilivyo kwa Kamati Tendaji ya BAVICHA taifa inayoundwa na vijana wa mikoa yote Tanzania. Vyombo hivi ndio vilivyowachagua wakina Munishi na Heche kuongoza BAVICHA. Sasa kama wasukuma, wakurya, wabena, wangoni, wasambaa, wanyakyusa, wamwera, wahaya, wanyamwezi wamakonde n.k siku hizi ni wachaga, basi wachaga hao wanastahili pongezi.

Huyo Munishi (Katibu Mkuu wa BAVICHA) unayelia lia alishindana na watu tisa. (Taarifa tu)
Huyo Munishi na Mallyawanazungumza kuhusu tatizo la boda boda ambalo Chama Chenu cha CCM na serikali yake imelisababisha. Wanazungumza kuhusu tatizo la ajira ambalo serikali yenu ya CCM imelisababisha na kushindwa kulitatua.Wanazungumza kuhusu tatizo la elimu mbovu ambayo serikali yenu ya CCM imekua ikiwapa vijana hawa na hivyo mwisho wa siku wanashindwa kujiajiri na hata kuajiriwa.

Hizi ndio hoja za msingi za kujadili kama zina mashiko kwa mustakhabali wa vijana wa taifa hili na sio aliyetoa hoja ni kabila gani.
Uchaga wao unahusiana vipi na kukosekana kwa ajira kwa vijana nchi hii?
Uchaga wao unahusiana vipi na kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini?
Uchaga wao unahusiana vipi na kutokuwepo kwa mapinduzi ya viwanda nchi vitakavyoajiri mamilioni ya vijan wetu?
Uchaga wao unahusiana vipi na kutokuwepo kwa mapinduzi ya kilimo nchini ili kuajiri vijana wengi ?
Uchaga wao unahusiana vipi na kukosekana kwa uongozi bora nchi?

Vijana wa CHADEMA hawajali makabila ya viongozi wao kwani hawatambiki.
Vijana wa CHADEMA wanajali uwajibikaji, uongozi bora, umakini, utu na sio kabila la mtu.

Asanteni kwa kuelewa (Kama umeelewa)
 
Dr Slaa HAFAI kuwa Raisi wa Tanzania 2015-2020
Dr Slaa ni Miongoni mwa Wanasiasa Wakongwe na
Machachali Hapa Nchini.Harakati zake Zimeanza
Zamani, Tangu Akiwa Mtumishi wa Kanisa Katoliki
(Padre) na Baadae Akafukuzwa Baada ya
Kuonyesha Utovu wa Nidhamu, Inasemekana
Haka Kamchezo Katamu Kalikuwa Chachu ya yeye
Kufukuzwa Upadre.
Nimekuwa Nikijiuliza,
1. Hivi Huyu Dr Slaa Alianza Kuwa na Ndoto za
Kuwa Raisi wa Nchi Hii Tangu Lini??Maana mimi
Nafahamu Alikuwa Padre, sasa Mapadre na Uraisi
katika nchi hii wapi na wapi??Maana Mapadre
Wameapa Kuwa Watumishi wa Mungu hadi Kufa
kwao…..Sasa Huyu Dr Slaa Kabla ya Kuwa Padre
Alikula Kiapo Kipi??
Na Kama aliapa kuwa Mtumishi wa Mungu
(Padre) na Akashindwa…Anawezaje Kunishawishi
Ataweza Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Kipindi cha
Miaka Mitano??
Lakini Pia Nimekuwa Nikijiuliza
2. Hivi ni Kipi Alichokifanya Dr Slaa Hata
awashawishi Watanzania Hususani Vijana
Kumpigia Kura ili awe Raisi wa Nchi Hii??Maana
Mimi Namfahamu Dr Slaa Kama Mlopokaji,Mtu
Mwenye Jaziba, Mvunja Ndoa za Watu,Ndumila
Kuwili Maana Upadre anautaka,Uccm anautaka
na Uchadema anautaka Pia…..Msela Maana Hadi
leo Hajaoa Licha ya Kuwa na Miaka 72.
3. Jamani Hivi ni kweli Tumekosa Watanzania
Wazalendo,wenye Historia nzuri ,Wenye Elimu na
Wachapa Kazi,Wasio na Kashfa za Ubakaji Hadi
Tumchague Dr Slaa kuwa Raisi wa Nchi Hii??
Ikumbukwe ya Kwamba,Dr Slaa Alilazimishwa
Kugombea Uraisi kwa Ticket ya Chadema mwaka
2010,yeye Hakutaka, Alikuwa Anajua Kabisa
Hawezi Kushinda ndio Maana Aliilazimisha
Chadema Kuingia MKATABA wa Kumlipa Mshahara
na Posho kama Wabunge endapo Atashindwa
kwenye Kinyang’anyiro Hicho.
4. Hebu Tujiuliize Pia..Hivi Historia ya Dr Slaa
Inatushawishi Kumchagua Kuwa Raisi wa Nchi
Hii??Maana mimi naona Hostoria yake
Imepindapinda kama Zigzag Line…….
Kiukweli Kabisa,Dr Slaa ni Mroho wa
Madaraka,Mbinafsi kama Freeman Mbowe…ndio
maana Alivyokatwa jina lake katika kura za maoni
ndani ya CCM mwaka 1995 Akaamua Kukimbilia
Chadema.Huwezi Kusema Dr Slaa Anaipenda
Chadema Maana Bila Kukatwa jina,asingekuwa
Chadema Hivi Leo….
UFUPISHO
Dr Slaa Hafai Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Sababu
1. Sio Muaminifu, Haaminiki Sio kwenye Masuala
ya Kiutawala tu bali hadi kwa Vimada wake..
2. MUHAFIDHINA, Akichaguliwa, Hata Kubali
Kutoka Madarakani,atakuwa King’ang’anizi kama
Museven…
3. Hana Uwazi, Ameshindwa Kusimamia Usomwaji
wa Taarifa ya Mapato na Matumizi ndani ya
Chadema…
4. Mgonjwa, Anaumwa Kisukari na
Pressure….Taifa Linaweza Kula Hasara za Kufanya
Uchaguzi Mwingine Katikati ya 2015-2020 Maana
Afya ya Mtu Huyu ni kama Mvua za Dodoma…..
Vijana Tutafakari kwa Kina….Nani Anatufaa Lakini
Tusipoteze Muda Kumfikiria Dr Slaa…
Viva Vijana Vivaaaaa……..
Huyu ni mama yako ambaye ni diwani wa Chadema. Sisi tunamfahamu vizuri huyu mama.
ImageUploadedByJamiiForums1397198560.044112.jpg
Sasa wewe kila siku unaandika kuhusu maisha binafsi ya Dr Slaa tena kwa kupotosha na kujaza kejeli nyingi sana kama vile huyo mama yako alikuwa mpenzi wake na akamuacha hivyo unahasira naye. Sikiliza Mtela, Dr Slaa ni kiongozi wa watu tena kitaifa. Anastahili heshima kama mama yako anavyostahili heshima ndani ya kata anayoongoza. Wewe utajisikiaje kama watu wataanza kumjadili mamayako mambo ya chumbani yasiyo na ukweli?
Kama unataka kuwa mwanasiasa jifunze kuwa na heshima. Hatukatai katika siasa vipo vijembe lakini sio matusi ya chumbani kama ufanyavyo wewe. Mie nakuonya kama mtu yeyote bila kujali wewe una akili timamu au hazikutoshi. Kama utarudia utoto wako wa kijinga kama huu mie nitaanza kutoa habari za fedheha za familia yako tena zile za ndani mpaka mama yako ataamua kuacha siasa. Kumpoteza diwani mmoja Chadema kwa ajili ya yeye kushindwa kukufunza adabu mwanae sio hasara hata kidogo.
KWA KWELI NIMEAMUA HIVYO. WANAOKUTUMA WAAMBIE JF KIMENUKA.
cc zumbemkuu
Cc Masanilo
cc Molemo

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mama yako ambaye ni diwani wa Chadema. Sisi tunamfahamu vizuri huyu mama.
View attachment 150548
Sasa wewe kila siku unaandika kuhusu maisha binafsi ya Dr Slaa tena kwa kupotosha na kujaza kejeli nyingi sana kama vile huyo mama yako alikuwa mpenzi wake na akamuacha hivyo unahasira naye. Sikiliza Mtela, Dr Slaa ni kiongozi wa watu tena kitaifa. Anastahili heshima kama mama yako anavyostahili heshima ndani ya kata anayoongoza. Wewe utajisikiaje kama watu wataanza kumjadili mamayako mambo ya chumbani yasiyo na ukweli?
Kama unataka kuwa mwanasiasa jifunze kuwa na heshima. Hatukatai katika siasa vipo vijembe lakini sio matusi ya chumbani kama ufanyavyo wewe. Mie nakuonya kama mtu yeyote bila kujali wewe una akili timamu au hazikutoshi. Kama utarudia utoto wako wa kijinga kama huu mie nitaanza kutoa habari za fedheha za familia yako tena zile za ndani mpaka mama yako ataamua kuacha siasa. Kumpoteza diwani mmoja Chadema kwa ajili ya yeye kushindwa kukufunza adabu mwanae sio hasara hata kidogo.
KWA KWELI NIMEAMUA HIVYO. WANAOKUTUMA WAAMBIE JF KIMENUKA.
cc zumbemkuu
Cc Masanilo
cc Molemo

Sent from my iPad using JamiiForums
mkuu huyo mtoto dawa yake ntaweka picha nikiwa natoka kuoga na mama yake tumejifunga mataulo labda ndo ataanza kuheshimu watu,
yeye mwenyewe aone comments hii Mtela Mwampamba
 
Last edited by a moderator:
nikijiangalia mimi personally kuna wachaga wengi sana waliochini yangu na wengine wanawajibika kwangu kabisa. kwa hiyo hiyo kuwa mbali kwangu mimi hainihusu hata kama ni shule naamini level niliyonayo ni wachache tu waliofika. so I do not care. lakini pia ni declare interest zangu tu bwana nicholas over 40% ya marafiki zangu ni wachaga, tena sio marafiki tu bali marafiki kabisa wa moyoni na akipata tatizo naumia kama limempata ndugu yangu, huwezi amini maneno haya pamoja na kuwaponda kote huku kwenye mitandao. tatizo hapo sio uchaga kwangu. ni chadema, ngoja tu nikuweke wazi. naichukia kwa dhati kabisa kutoka moyoni na hasa chadema-saccos hii ya sasa. siipendi ccm kwa kweli ila siipendi chadema zaidi hata ya mara 10 ya ccm. chadema ingekufa hata leo kwangu mimi ni poa tu.
Abunuasi huwezi kuwa na hali bora kuliko jina lako...kwanini unadhani asilimia 40 ni kubwa?Wewe kwa njaa zako huwezi nishawishi kuwa hao wachga wkaipata tatizo unawalilia wao..huwa unajililia mwenyewe na shida zako kwamba utakopa wapi...ili ulipe visa vya ccm vikianza na rushwa ikishika hatamu.....Kwanini usiwaambie kuwa huwapendi na unawaponda ktk mitandao?Mwehu wewe....km unaichukia CDM si ungeisema tuu kwanini uwashambulie wachaga km vile ni wahalifu na uwepo wao ktk chama cham akinapoteza sifa ya kuchaguliwa...mbaguzi mkubwa wewe...kwa akili ya kwenye kinyeo...unadhani utaweza beaba chuki na uduni wa makabila yenu ktk vita na wachaga..huwezi kuwa legelege halafu ukavaa mavazi ya askari wa kirumi ukiamini utapigana km jet lee..? Mtauza hadi nchi ila hamtokaa muwezi washinda wachaga...kang`onei hadi kahawa,migomba na kupiga marufuku hele kufika kilimanjaro na kuziba na Maji masafi na bora nchi nzima....mtaishia kukimbizana na wazee, walevi na watoto ...wachaga Mungu wao alishawaambia watoke wakashambuie adui ktk ngome yake...watambae duniani kote...adui akose mahali pa kuwakusanya na KUWAUA KM HITLER ALIVYOUA WAYAHUDI..kuanzia hapo wayahudi ama nchini kwao Israel au Duniani kote. Structure ya wachaga..hadi wamisionary wa mwanzo waliipenda na walikuwa mfumo uliofanana na ukristu ktk Imani ya wachaga....walikuta kilimo kizuri, na hadi leo wamekuwa superior kuliko hata wapuuzi wanaoamini kuwa wabantu ni duni....wasio wabantu njaa zinawaua...wanauzwa km mbuzi...wanapigana vita za kuangalia pua, ...za ukabila km nyie, wachaga wanashida Vita bila kupigana na adui ila na maisha.sucess yao inapiga maadui....kamuulize wazazi wako...chuki yao dhidi ya wachaga mbona iliishia kuwaita watani wakati umbali wa makabila hakuna hata harufu ya kujuana kimila?
 
Karibu mkuu mi niko Nanga Centre-kanadi CCM kwetu mwiko ila nahsi 2015 majitu haya yanaweza yakatwaa jimbo tena coz UDP imeisha na Chadema ni chama cha kikanda na ukabila
Hata hela inajiita ya wachaga..na inawakimbilia kabla hawajaitafuta....nayo ikatae punda wewe.
 
wachaga wamejazana sana chadema. hamna kazi wanayofanya zaidi ya wizi wa ruzuku tu
 
hela ya wachaga ni ya ujambazi
Ya kweni ni ya ufisadi na uchotaji...baada ya kutaifisha mashamba ,viwanda na makampuni wachaga hawakupewa nafsi..baba zenu walipewa..wakaishi mika zaidi ya 20 mahotelini..yaiwepo 77,Arusha hotel, mt meru, kilimanjaro, agip, etc..eti hawana nyumba yenye hadho yao..leo wanaishi chini ya miembe vijijini kwenu...leo wachaga wanaongoza mashirika yaliyofanikiwa kuliko wakabila nyie mlivyoota kuyashika....Km hata kuiba hamuwezi jiibia mlichopewa mkiangalie inaonyesha jinsi gani msivyoweza shindana na wachaga ktk mema na ktk maovu...ndio maana wachaga huwaoa...wachaga wanawake huwa wanawaoa nyie watu pori......wengi tuu mmefanywa madereva, mmepigwa marufuku kwenda kwenu, mnabaki ktk majiji au mnakwenda Kil.....mnakunywa Kil, mnalala ktk Kil, mnajiaza kwa Kil...
 
wachaga wamejazana sana chadema. hamna kazi wanayofanya zaidi ya wizi wa ruzuku tu
Ni watu wa porini na vichakani tuu ndio wanaoamini kuwa Ruzuku uliyopewa unaiiba.....unaweza ifuja lakini si kuibwa ..kuiba lazima ujifiche na utumia ujanja kuichukua. Hivi ruzuku ya CDM ni nyingi sana kiasi cha kuimiza CCM roho hivyo..au yenu huwa mnamaliza haraka sana kabla ya CDM ..njaa yenu inaamsha tamaa?
 
Back
Top Bottom