Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Chadema ni uharo mtupu
Chadema ni uharo mtupu
hakuna ujinga wala upumbavu katika kuhoji kwa lengo la kutaka kujua.
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
Chadema kete yao kuu ni udini na ukabila, uchagga kwanza,utaifa baadae
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
wazo zuri kama ugomvi wako ni dini na makabila hebu tutafutie kiongozi yoyote tanzania asiye na dini wala kabila.hao ndo walio gombea na kushinda shida yako nini kumbuka upinzani haukuanzia kwa wahehe wala wakinga wala wabena wala wangoni ndio maana ni maskini sana na ndo wanaanza kujielewa sasa kuwa ni maskini sababu ya ccmjamaani naangalia ukurasa-eatv nimeona viongozi wa bavicha dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. Lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. Hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? Nimeshangaa jiji la dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
Msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
UDINI NA UKABILA NDIYO UTAKAOWAMALIZA NYIE!... MMEVAA KOTI LA UKABILA NA KANZU YA UDINI na kueneza uchafu kama huu...jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
ni udini tu unaokupeleka kufanya haya!chadema ni uharo mtupu
mkuu lakini hata hao mamods nafsi zao zitawasuta maana haya madai ya chadema na uchaga yamekuwa kila siku kwenye media na huku mitaani.
Hakuna ujinga wala upumbavu katika kuhoji kwa lengo la kutaka kujua.
pale makao makuu ufipa mpaka mfagizi ni mchagga
Mkuu jibu hoja kwanza wosia baadae!
SISHANGAI watu wa dini moja kuungana kupandikiza chuki za udini na UKABILA... NANI ASIYEJUA KUWA MCHANGE NA WAFUASI WAKE HAWA NI WAISLAMU?Chadema kete yao kuu ni udini na ukabila, uchagga kwanza,utaifa baadae
Chadema ni uharo mtupu
Kwani kalenga kulikuwa hakuna familia nyingine mpaka ya Mgimwa?... chox vipi?jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.