Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

Mtoa mada una makengeza ya ubongo! Wewe umewahi kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM ukatoswa kwa sababu tuu wewe si mchaga? Usijaribu kurusha mateke kuelekea CDM huku ukiwa ndani ya CCM.

Kwa taarifa yako ukitaka kupenya kwenye uongozi CCM kuanzia ngazi ya wilaya ni lazima uwe mtoto angalau wa mwenyekiti wa CCM wilaya. Watoto wa makapuku wote watabaki kuwa wenyeti wa vijiji na mitaa ndani ya CCM na wengine kuwa mabalozi wa nyumba kumi. Ukitaka kuwa DC, Mjumbe wa NEC, mbunge kupitia CCM lazima uwe na backup ya wazazi, wajomba, shangazi n.k. Akiwa binti inabidi awe nyumba ndogo wa kigogo wa CCM.
 
Abunuasaliyeni kweli hatusitahiki ila wachaga wamezidi. wanaleta ukabila mpaka kwenye siasa ndo maana wanapeana nafasi hizo kishikaji. hivi hamuoni walivyojazana chadema? as if hakuna makabila mengine zaidi yao. mbona hawajajazana NCCR manunuzi? maajabu haya.[/QUOTE said:
Mbatia mbunge wa Viti maalum(NCCR) ni kabila gani? Mrema (TLP) ni kabila gani? au kosa la wachaga ni kujiunga na CHADEMA? Hivi ili taifa tunakwenda wapi? Yaani tumefika pahala pa kuamalia binadamu wenzetu wafuate chama gani? Hata kama ni chuki kwa chadema this is too much. Wachaga wapo na wataendelea kuwepo maana wewe huna hati miliki ya Tanganyika
 
Na wewe ni kabila gani?
Karne hii bado tunaongelea ukabila? Na inaonekana hakuna point uliyotoka nayo isipokuwa ukabila.
Watanzania kazi bado tunayo.
 
Mbatia mbunge wa Viti maalum(NCCR) ni kabila gani? Mrema (TLP) ni kabila gani? au kosa la wachaga ni kujiunga na CHADEMA? Hivi ili taifa tunakwenda wapi? Yaani tumefika pahala pa kuamalia binadamu wenzetu wafuate chama gani? Hata kama ni chuki kwa chadema this is too much. Wachaga wapo na wataendelea kuwepo maana wewe huna hati miliki ya Tanganyika
Hata CCM kuna wachagga wengi tu! Ila haya yanayosemwa humu pia husemwa na viongozi wa CCM - ndio sera yao siku hizi - ukabila. Sasa shetani asaide CDM ife leo au kesho, wachaga waliopo CCM watasalimika?
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

Uwelewa wako una mapungufu makubwa,ndani ya chadema kuwa mwenyekiti au katibu unachaguliwa na wanachama sio nafasi za kuteuliwa kwahyo nashindwa kujuwa kama akili zako ziko sawa kwenye hili.
 
mkuu unamaanisha na ukitaka kuwa kiongozi chadema mpaka uwe mchaga? kama walivyo hapa dar? au mpka uwe small hause kama alivyo shemejiiii joyce? napata tabu kukuelewa kidogo.

Mtoa mada una makengeza ya ubongo! Wewe umewahi kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM ukatoswa kwa sababu tuu wewe si mchaga? Usijaribu kurusha mateke kuelekea CDM huku ukiwa ndani ya CCM.

Kwa taarifa yako ukitaka kupenya kwenye uongozi CCM kuanzia ngazi ya wilaya ni lazima uwe mtoto angalau wa mwenyekiti wa CCM wilaya. Watoto wa makapuku wote watabaki kuwa wenyeti wa vijiji na mitaa ndani ya CCM na wengine kuwa mabalozi wa nyumba kumi. Ukitaka kuwa DC, Mjumbe wa NEC, mbunge kupitia CCM lazima uwe na backup ya wazazi, wajomba, shangazi n.k. Akiwa binti inabidi awe nyumba ndogo wa kigogo wa CCM.
 
Lakini hujiulizi walivyojazana kwenye biashara miji yote tz? Wamejezana kama watumishi huko halmashauri, mawizarani, mavyuoni, mabenki, waalimu, madaktari, waiguzi, manesi, kuanzia shoe shiners, wamachinga, wauza baa, wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa... wanejazana wao. Mbona hilo hamjiulizi?
mkuu naona umekuja na moto mkali sana, ngoja nisepe.
lakini hujajibu hoja yangu ya msingi. kwa nini wajazane tu chadema? kama ni vyama vya siasa vipo vingi tu hapa TZ. hivi mkuu unaijua dar vizuri? makabila yote ya tanzania mpaka yakigeni yapo hapa. nisome vizuri utanielewa.
 
Hata vyama vingine wapo...
Mwenyekiti wa nccr ni mchaga. Mwenyekiti wa tlp ni mchaga. Ukihesabu na vyama vingine vilivyobaki, kati ya 5 au 6 wenyeviti wake wachaga. ..
 
Uwelewa wako una mapungufu makubwa,ndani ya chadema kuwa mwenyekiti au katibu unachaguliwa na wanachama sio nafasi za kuteuliwa kwahyo nashindwa kujuwa kama akili zako ziko sawa kwenye hili.
mkuu lakini siunajua siasa zetu. mtu mmoja anaweza influence uchaguzi mzima. wewe unafikiri kama uchaguzi wa bavicha ungeachwa uende kama ulivyo henche angeshinda?
ndo maana nikasema yaelekea kuna namna inayofanya wachaga wajazane chadema. na nadhani ni kama sehemu ya ulaji tu. mbona hatuwaoni wakijazana CUF au NCCR manunuzi? jiulize.
 
Hacha kufikiri kwa kutumia makalio huwezi kubalansisha makabila kwenye uongozi.uongozi ni knowledge,skills,ability and qualification accordng 2 max weber na siyo mambo ya ukabila acha ujinga na upumbavu akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
'Just thinking out loud'
Ina maana katika chama hicho hao jamaa tuu ndiyo wenye sifa hizo au hakuna wengine?
Acha nadharia bwa mdogo angalia uhalisia. naomba wewe mwenyewe ufanye utafiti mdogo kuhusu uongozi wa chama hicho hata mikoani na wilayani tanzania nzima halafu uje na statistics utaona ukweli.
Hakuna mtu mjinga kama yule ambaye ana macho lakini anajifanya kipofu anasema anajifanya bubu, anasikia anajifanya kiziwi- hoko siyo kupenda bali ni ujuha
 
Mbatia mbunge wa Viti maalum(NCCR) ni kabila gani? Mrema (TLP) ni kabila gani? au kosa la wachaga ni kujiunga na CHADEMA? Hivi ili taifa tunakwenda wapi? Yaani tumefika pahala pa kuamalia binadamu wenzetu wafuate chama gani? Hata kama ni chuki kwa chadema this is too much. Wachaga wapo na wataendelea kuwepo maana wewe huna hati miliki ya Tanganyika
kweli mapovu yanakutoka mpaka unaandika pumba shemu.
kusema ukweli siwachukii wachaga hata kidogo. tena nawapenda sana tu, ujue hata kama wewe ni mchaga basi nakupenda sana tu. na kwa taarifa yako over 40% ya marafiki zangu, tena sio marafiki tu bali wa moyoni kabisa ambao tunasaidiana kila kukicha ni wachaga. ila chadema kusema ukweli wa moyoni naichukia mpaka basi. tena kwa staili hii ya akina lema kupiga watu matofali kwenye mikutano kama alivyofanya kwa akina samson au kuwatukana wengine mitandaoni akiwa na Ids halisi kama alivyofanya kwa akina zito naichukia kweli kabisa toka moyoni. hakuna anayemkataza na anaonekana wazi akiwa na baraka za akina mbowe, slaa na mtei.
 
Wachaga wanatumia akili kufikiri kuliko wewe unayetanguliza tumbo hata katika mambo ya msingi.
 
Hata vyama vingine wapo... Mwenyekiti wa nccr ni mchaga. Mwenyekiti wa tlp ni mchaga. Ukihesabu na vyama vingine vilivyobaki, kati ya 5 au 6 wenyeviti wake wachaga. ..
Hembu waambie hao mazoba..wanashindana na wanaoshikilia roho na matumbo yao...bila wachaga hii nchi kwishney.....CCM wamepunguza wachaga ,na kuwapiga vita mbaya...sasa nchi inazama...wapumbavu walioua mashirika ya umma...sasa hivi wapo chini ya miembe wanahadithia ..sasa uzao wao ndio wanafurika kwa fujo kuingia ktk spending spree..huku wakiamini kuwa wana produce....uzao wa vile vizee vilivyoishi na familia mahoteli ya kitaifa enzi zile kwa madai hakuna nyumba zenye hadhi yao..na elimi yao..sasa hivi vinafia chini ya miembe....ktk vibanda..wale wachaga waliokuwa chini hadi level ya wafagiaji wana mafanikio ya kutisha....huku wakitambulika tuu kuwa walifanya office fulani bila kuwa na cheo cha kuringia.
 
Back
Top Bottom