mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
matusi gani nimetoa?
ama kweli wewe ni mwezi mchanga hata kumbukumbu zinapotea na kurudi taratibu.duh hi kali
matusi gani nimetoa?
ama kweli wewe ni mwezi mchanga hata kumbukumbu zinapotea na kurudi taratibu.duh hi kali
umeshakunywa mbege vitochi vingapi mpaka sasa hivi?
unavyolipenda hili kabila utakuja kupata mume huku tuendako.
njoo hapa picnic nikununulie mtura
leo umepewa lumumba pesa ya sikukuu naona mpaka jino la mwisho linaonekana.poor you
Henry kilewo ni katibu kanda ya dar es salam wa DAR toka mwanga na sio mwenyekiti, mwenyekiti bavicha ni mkuryia wa Tarime, na katibu wake ni Deo ni wa Dar toka moshi
Mallya ni simanjiro
Haya editi sasa thread yako uliza swali sasa, kama hoja ya ukabila hapo hakuna na imechuja sasa hapo kuna (mkurya, mmasai, mchaga)
siku hizi hata wizi ni wakusifiwa? nilitarajia upinge hilo maana hata nyumba za ibada ni nyingi sana huko north, au wanahubiri wizi madhabahuni? fikiria wewe kifuu cha nazi.mchaga naapendwa na hala, na anaimiliki hela....pengine ungejiuliza kwanini mchaga hata ktk wizi anapiga kazi na kuwa na mafanikio kuliko waswazi..mjiulize shida yenu nini.
ni kweli kabisa uyanenayo. maana hata kule kalenga. chalinze na hata chopa 3 kata 3 nilikuwa mimi! upuuzi.Unapenda jidanganya....unajua saccos za wachaga wewe pimbi wanakpeshana kiasi gani?Endelea kuita vyama vya kisiasa saccos ili ujidanganye zaidi.Ni wewe mwenyewe ndiye uliyebaki ukijiaminisha uongo ulioshindwa danganya watanzania.
mkuu kama vile kuna kaukweli kwenye hii post yako. hebu ngoja kwanza nifanye utafiti juu ya hili ulilopost.kwani ulikuwa hufahamu hiyo ni sacoss ya Wachaga, chadema maana yake kwa kichaga ni chagazi teritory, na ni wanafiki na wezi kinoma.
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?
hata sijui.Huyo Malya ni ndugu yake Deus Malya?
Acha wehu wewe,sasa kalenga,sijui na chalinze kunathibitisha vipi CDM ni saccos....Chama cha kisias kinathibitishwa kwa msajili..km unathibitisha msajili kachemka ..utakuwa unathibitisha pia tunachosema wengine kuwa CCM inastahili kufutwa kabisa ktk siasa za nchi ..Ila msajili hataki kifuta.ni kweli kabisa uyanenayo. maana hata kule kalenga. chalinze na hata chopa 3 kata 3 nilikuwa mimi! upuuzi.
punguza hasira nicholas/australia. tunachozungumza hapa ni kuwa chadema inajiifia tratibu na haitakuwepo kwenye siasa za ushindani mwakani kama tadea, nld ni vinginevyo. kama unaongelea kusajiliwa kwa msajili basi chadema itadumu hata milele, mbona ha nra ya Marehemu Prof. Kighoma Malima ipo mpaka leo. tatizo lako wewe unataka ligi tu kwa kitu ambacho kiko wazi.Acha wehu wewe,sasa kalenga,sijui na chalinze kunathibitisha vipi CDM ni saccos....Chama cha kisias kinathibitishwa kwa msajili..km unathibitisha msajili kachemka ..utakuwa unathibitisha pia tunachosema wengine kuwa CCM inastahili kufutwa kabisa ktk siasa za nchi ..Ila msajili hataki kifuta.
Sasa hata lingekuwa hilo unalosema ndilo..unadhani kwanini sasa ujiteue kuwa mzungumzaji, na upo so concerned kiasi hicho....?Ni km mpuuzi anayeamkia kwa mtu aliyedhani kuwa kafa akamkuta yupo ktk sherehe..halfu akaanza lazimisha wewe ulipaswa kuwa umekufa na utakufa very soon..kwa ghadhabu sana wakati watu wengine wapo ktk starehe...na unayelazimsha afe ndie bwana harusi.punguza hasira nicholas/australia. tunachozungumza hapa ni kuwa chadema inajiifia tratibu na haitakuwepo kwenye siasa za ushindani mwakani kama tadea, nld ni vinginevyo. kama unaongelea kusajiliwa kwa msajili basi chadema itadumu hata milele, mbona ha nra ya Marehemu Prof. Kighoma Malima ipo mpaka leo. tatizo lako wewe unataka ligi tu kwa kitu ambacho kiko wazi.
Sasa km inajifia taratimu nini unashupaa kuiita saccos,sijui imeufa..si uache ife uthibitishe..nini kinakuuma hivyo?Nyie ndie wale wanaokwenda ktkk harusi ya bwana harusi..kulazimisha watu wakubali bwnaa harusi kafa..km hajafa basi atakufa kesho.tena kwa jazba..punguza hasira nicholas/australia. tunachozungumza hapa ni kuwa chadema inajiifia tratibu na haitakuwepo kwenye siasa za ushindani mwakani kama tadea, nld ni vinginevyo. kama unaongelea kusajiliwa kwa msajili basi chadema itadumu hata milele, mbona ha nra ya Marehemu Prof. Kighoma Malima ipo mpaka leo. tatizo lako wewe unataka ligi tu kwa kitu ambacho kiko wazi.