Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Acha kutumia makalio kufikiria tumia ubongo ukishindwa tumia macho kutazama anza kutanzama bush na ukoo wake hko marekani kama ni mbali tazama ridhiwani na kikwete hao wengine mulize mkeo anaweza kujua zaidi coz binadam tunatofautiana kufikiri mkuu
mkuu matusi ya nini? mimi nimeuliza tu. hao wengine unaowasema tumeona mchakato wake, tumeona riz1 akipambana na akina imani madega kura za maoni na zikawekwa hadharani,, akina godfrey mgimwa vile vile, sasa hebu niambie wale akina christina lisu, joyce nkya mbowe, uweya na grace-ndesa family, rose slaa na wengineo walipatikana kwa mchakato upi wa wazi? kuna mtu aliwapigia kura public? nauliza, acha matusi.
 
Wana sifa ndo maana wakagombea wanachama wakawachagua.
mkuu inawezekana ni kweli kabisa, lakini kwa nini chadema tu? halafu ndani ya jiji lenye mchanganyiko wa kila aina ya watu? is that just happened?
 
Kwani kalenga kulikuwa hakuna familia nyingine mpaka ya Mgimwa?... chox vipi?
mkuu yule alishinda kwa kupitia mchakato na uko wazi kama ule wa riz1 kule chalinze? au unataka ulinganishe na huo wa akina kileo, mnishi na malya? kwani huko chadema hakuna makabila mengine wanaoruhusiwa kugombea? maana tumeona hata akina Zitto wakitolewa baru kwa kukikodolea kiti cha mbowe.
 
SISHANGAI watu wa dini moja kuungana kupandikiza chuki za udini na UKABILA... NANI ASIYEJUA KUWA MCHANGE NA WAFUASI WAKE HAWA NI WAISLAMU?
tafadhali mwenye jibu nyie waumini wa chadema njooni mjibu tuhuma hizi. msipokuja nasi wengine tutaamini kuwa hizi tuhuma ni za kweli.
 
UDINI NA UKABILA NDIYO UTAKAOWAMALIZA NYIE!... MMEVAA KOTI LA UKABILA NA KANZU YA UDINI na kueneza uchafu kama huu...
mkuu udini umeingiaje tena humu. mimi nimeuliza viongozi watatu wa kabila moja nje ya mkoa wao. tena bora hata ingekuwa huko tabora, lakini hapahapa jijini ambako kuna mchanganyiko wa makabila yote, na kwa nini iwe chadema tu? jibu swali mkuu acha matusi, hayajengi.
 
wazo zuri kama ugomvi wako ni dini na makabila hebu tutafutie kiongozi yoyote tanzania asiye na dini wala kabila.hao ndo walio gombea na kushinda shida yako nini kumbuka upinzani haukuanzia kwa wahehe wala wakinga wala wabena wala wangoni ndio maana ni maskini sana na ndo wanaanza kujielewa sasa kuwa ni maskini sababu ya ccm
nadhani umenimis-interprete. sikatai kuwa wachaga wala wakristo wala wakaskazini. lakini sasa wote 3 kweli (kileo, mnishi, malya) tena nje ya mkoa wa original wa kabila lao? je hiyo imetokea tu? tunajua hapa dar kuna makabila yote zaidi ya 120, hivi ni kweli hakukuwa na makabila mengine kweli? I am doubting. hebu mjitathimini bana? mambo mengine yapo too open. sasa hivi hata mlevi akitoka kilabuni na mbege zake akasema chadema ni chama cha kichaga mtabisha?
 
Abunuasi; Kabla sijashangaa upuuzi ulioweka jukwaani. Nimeshtushwa na ukabila, ufamilia na usultani wa Kikwete kwamba yeye aliongoza Chalinze mara 3 mfululizo akamwachia binamu yake Said Bwamdogo sasa kwa kutumia ubabe wa majeshi, kukunjwakunjwa sheria za uchaguzi kulikosimamiwa na tume ya uchaguzi, rushwa iliyokithiri mtoto wake mtukufu naye amekabidhiwa jimbo hilo.
Hii inaudhi sana. Nakushangaa kuwa macho yako hayaoni hili bali unatunga jambo la uongo kuhusu wachaga na CHADEMA.
mkuu uongo wangu ni upi? hayo nimeyaona kwa macho yangukwenye TV. viongozi wote wakuu wa mkoa wa Dar ni wachaga (kileo, mnishi na malya)
halafu kuhusu huko kuchaguliwa riz1 naona ni chuki tu zako. riz ameshindana kwenye kura za maoni akashinda kwa kura zaidi ya 750 akifuatiwa na madega 350, sasa hapo amebebwa kivipi? hata msukule wa bavicha walikuwa wanajua chalinze hawana chao ndo maana hata viongozi wakitafa akina mbowe, slaa hawakwenda na wala hawakupeleka chopa. walikuwa na matumaini kalenga ndo maana walipeleka nguvu kubwa sana tena mpaka ya angani lakini bado wakaangukia pua,sasa ingekuwa chalinze kama kalenga kwenyewe mlishindwa? acha kulia lia bana haya mmeyasababisha wenyewe. usisahau pia na kata 3 chopa 3.
 
Ujinga wako hauna kipimo kaka . Angalia historia utajua kwa nini hao jamaa wako mbele .Wengine kama wewe na Shonza na Mapamba ni wachumia tumbo mnajua CCM mtakula pesa za so you cannot cross leo wao wako katika mapambano unawasema ni wachaga ? Shame on you
mkuu turudi kwenye swali la msingi. viongozi wakuu wa3 wa mkoa wa dar ni wachaga wote kwa chadema. hivi ni kweli jiji ambalo linawatu zaidi ya 5mil hakuna makabila mengine yanayoweza kukiongoza chama hicho zaidi ya wachaga? I am puzzled.
 
Usimlazimishe kurekebisha thread kwani alilolisema ni kweli kabisa
Kileo ni Mchagga hata km ni wa chekereni au Himo au Mwanga asili ni asili tu
Mallya Babangu huwezi danganya eti ni Millya
Mallya km sio Mkibosho basi ni jamii hiyohiyo hawezi kuwa ahamie Simanjiro ukabila ufe
Mtoto wa nyoka hawezi kuwa wa Jogoo

Sasa wewe nawe unataka nini!?

Acha kunivuruga na hasira mbaya za chalinze, ungekuwa karibu ningekubetua mbayaaa.....
 
Kabila sio issue, wew mtoa hoja ulikataliwa kwa vigezo vya kabila lako. Anglia uwezo wa mtu sio kabila lake. Kwani unatak kutambik
siamini kama bado kuna watanzania wanaulizia ukabila na ukanda kama kigezo cha kuwa kiongozi katika taasisi mbalimbali hapa nchini. maswali ya kujiuliza ni haya;
1) mleta uzi ushawahi kuuliza kwanini makamu wa rais wa jamhuri ya muungano cku zote anatokea zanzibar na wote waislamu, je zanzibar hakuna wakristo wenye uwezo wa kuwa makamu wa rais? je tanganyika hakuna wenye uwezo wa kuwa makamu wa rais?
2) je unataka CHADEMA wawe wanawafuata wenye nia ya kuongoza/kugombea nafasi fulani ya taasisi hiyo majumbani kwao ili kubalance makabila ya taifa hili hata kama hawajitokezi?
 
Sasa wewe nawe unataka nini!?
Acha kunivuruga na hasira mbaya za chalinze, ungekuwa karibu ningekubetua mbayaaa.....
Hiyo ndio chadema ambayo mimi naifahamu.
Bravoooo Mamaa wewe uliona mbali, acha wajimalize kuna jamaa hapa frema120 anataka eti kibetua kaa chachawangwe
Chalinze sio mchezo km sio kaburi lake kabla ya 2015 sijui?
attachment.php
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

CCM ni ukoo wa panya
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

huko chalinze hakuna mgombea zaidi anaweza kuongoza zaidi riz i
 
Mleta mada hapa anasumbuliwa na roho ya ubaguzi na buku sana.Binadamu ukifikiria kwa kutumia tumbo,ni hatari sana.Yeye alitaka kabila gani liwepo pale?.CCM badilikeni,mtatupeleka kubaya!.
mkuu naona umeamua kunishambulia personally, hivi hujui kuna tuhuma za muda mrefu kuwa chadema ina husishwa na uchaga? ukanda? udini na hasa ukristo? vivyo vivyo kwa CUF na uislam. na hata huo uongozi ukiunagalia kama vile kuna kaukweli, haiwezekani jiji la dar lenye watu zaidi ya mil5 na makabila yote zaidi ya 120 yapo hapa halafu waonekane wachaga tu ndo wanajua kuongoza lakini iwe kwa chadema tu. kuna tatizo acha kuficha upuuzi.
 
Kipaumbele katika chaguzi ndani ya CDM ni sifa muhimu pamoja na uzoefu. Hilo la kabila gani unalotaka kutuaminisha halipo kwenye vigezo na sifa. Hata hivyo si vibaya ukianza na kuhoji kwa nini wakware hawakumpigia kura mmasai chalinze?....acha kujenga hoja za nyimbo za akina LUSINDE na NAPE, labda ww ni empty headed mkuu.
mkuu unamaanisha kuwa ile 10% niya watu gani? unachekesha kweli. halafu hata ile 90% ya riz1 unataka kuniambia hakuna kura za wamasai?
 
"Karne ya (21) watu mnaongea makabila"!!!
 
kati ya viongozi sita wa juu wa CHADEMA, mchaga ni mmoja tu.. kati ya viongozi sita wa juu wa BAVICHA mchaga ni mmoja tu, kati ya viongozi sita wa juu wa BAWACHA mchaga ni mmoja tu na kati ya viongozi sita wa juu wa baraza la wazee chadema hakuna mchaga hata mmoja. labda kuna ukabila.. nasubiri nioneshwe!!! kikatiba john mallya sio kiongozi wa chama bali mwanachama tu, mtoa mada anadai mwenyekiti wa bavicha na katibu ni wachaga! sina uhakika kama tarime alipozaliwa john heche wanatokea wachaga nasubiri ufafanuzi
we msukule sikiliza bana. henche ni bavicha chair taifa, mimi naongelea mkoa wa Dar, rudia usome uzi wangu. nashangaa hata hao sita kadhaa uliowataja umesahau kuwa Tz kuna makabila zaidi ya 120 lakini katika 6 at least lazima mchaga awepo kwa mujibu wa data zako. halafu hilo baraza la wazee lisilo na mchaga ni lipi? kwani mzee mtei ni mgogo? tuache kutaniana bana, ukweli mbele daima.
 
Back
Top Bottom