Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

Ni watu wa porini na vichakani tuu ndio wanaoamini kuwa Ruzuku uliyopewa unaiiba.....unaweza ifuja lakini si kuibwa ..kuiba lazima ujifiche na utumia ujanja kuichukua. Hivi ruzuku ya CDM ni nyingi sana kiasi cha kuimiza CCM roho hivyo..au yenu huwa mnamaliza haraka sana kabla ya CDM ..njaa yenu inaamsha tamaa?
Nicholas , usiumize kichwa ndugu yangu, unadhani wao hawapati pesa? Wanapata sana, ila hawajui kupanga matumizi mwishoe wanatafuta wa kumtupia lawama za umasikini wao. Ona shule hii ambayo iko Bagamoyo umbali mchache toka kwa ------ mwenyewe.
ImageUploadedByJamiiForums1397278157.695310.jpg

Kwa hiyo hapa watasema wachaga wamewaibia ndio maana wameshindwa kuwajengea watoto wao shule?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hii single mbona iliishachuja siku nyingi. Mleta mada nina wasiwasi kama kweli leo utalipwa hiyo book 7 kwa post hii.

Tiba

Jibu hoja zake.
Kuuliza siyo ujinga mwelimisheni.
Na hiyo buku saba unamlipa wewe.?

Tuambizane na mimi nipate kupost nilipwe.. Naons itaniongezea pesa ya ziada.
 
Nicholas , usiumize kichwa ndugu yangu, unadhani wao hawapati pesa? Wanapata sana, ila hawajui kupanga matumizi mwishoe wanatafuta wa kumtupia lawama za umasikini wao. Ona shule hii ambayo iko Bagamoyo umbali mchache toka kwa ------ mwenyewe.
View attachment 150774

Kwa hiyo hapa watasema wachaga wamewaibia ndio maana wameshindwa kuwajengea watoto wao shule?

Sent from my iPad using JamiiForums

Siyo lazima kila kitu ni serikali...

Hata wananchi wanawajibu pia wa kuchangia shughuli za maendeleo.
Tukishindwa kubadilika kwa hili ni kila siku tutakua wa kulaumu...
 
Last edited by a moderator:
Abunuasi huwezi kuwa na hali bora kuliko jina lako...kwanini unadhani asilimia 40 ni kubwa?Wewe kwa njaa zako huwezi nishawishi kuwa hao wachga wkaipata tatizo unawalilia wao..huwa unajililia mwenyewe na shida zako kwamba utakopa wapi...ili ulipe visa vya ccm vikianza na rushwa ikishika hatamu.....Kwanini usiwaambie kuwa huwapendi na unawaponda ktk mitandao?Mwehu wewe....km unaichukia CDM si ungeisema tuu kwanini uwashambulie wachaga km vile ni wahalifu na uwepo wao ktk chama cham akinapoteza sifa ya kuchaguliwa...mbaguzi mkubwa wewe...kwa akili ya kwenye kinyeo...unadhani utaweza beaba chuki na uduni wa makabila yenu ktk vita na wachaga..huwezi kuwa legelege halafu ukavaa mavazi ya askari wa kirumi ukiamini utapigana km jet lee..? Mtauza hadi nchi ila hamtokaa muwezi washinda wachaga...kang`onei hadi kahawa,migomba na kupiga marufuku hele kufika kilimanjaro na kuziba na Maji masafi na bora nchi nzima....mtaishia kukimbizana na wazee, walevi na watoto ...wachaga Mungu wao alishawaambia watoke wakashambuie adui ktk ngome yake...watambae duniani kote...adui akose mahali pa kuwakusanya na KUWAUA KM HITLER ALIVYOUA WAYAHUDI..kuanzia hapo wayahudi ama nchini kwao Israel au Duniani kote. Structure ya wachaga..hadi wamisionary wa mwanzo waliipenda na walikuwa mfumo uliofanana na ukristu ktk Imani ya wachaga....walikuta kilimo kizuri, na hadi leo wamekuwa superior kuliko hata wapuuzi wanaoamini kuwa wabantu ni duni....wasio wabantu njaa zinawaua...wanauzwa km mbuzi...wanapigana vita za kuangalia pua, ...za ukabila km nyie, wachaga wanashida Vita bila kupigana na adui ila na maisha.sucess yao inapiga maadui....kamuulize wazazi wako...chuki yao dhidi ya wachaga mbona iliishia kuwaita watani wakati umbali wa makabila hakuna hata harufu ya kujuana kimila?

Chadema imezidi kwa ukabili, we inakuwaje ofisi iko Dsm, viongozi kibao mpaka wafagizi ni wachaga! Hakuna wazaramo wanaojua hata kufagia!?
 
Chadema imezidi kwa ukabili, we inakuwaje ofisi iko Dsm, viongozi kibao mpaka wafagizi ni wachaga! Hakuna wazaramo wanaojua hata kufagia!?

Hao wazaramo na ngoma wamuachie nani?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nicholas , usiumize kichwa ndugu yangu, unadhani wao hawapati pesa? Wanapata sana, ila hawajui kupanga matumizi mwishoe wanatafuta wa kumtupia lawama za umasikini wao. Ona shule hii ambayo iko Bagamoyo umbali mchache toka kwa ------ mwenyewe. View attachment 150774 Kwa hiyo hapa watasema wachaga wamewaibia ndio maana wameshindwa kuwajengea watoto wao shule? Sent from my iPad using JamiiForums
Umemsikiliza Kigwangala kapewa nafasi sasa anajimaliza mwenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Nicholas , usiumize kichwa ndugu yangu, unadhani wao hawapati pesa? Wanapata sana, ila hawajui kupanga matumizi mwishoe wanatafuta wa kumtupia lawama za umasikini wao. Ona shule hii ambayo iko Bagamoyo umbali mchache toka kwa ------ mwenyewe. View attachment 150774 Kwa hiyo hapa watasema wachaga wamewaibia ndio maana wameshindwa kuwajengea watoto wao shule? Sent from my iPad using JamiiForums
Halafu Jk hupita hapo akicheka.....huenda hapo miaka na miaka kuomba kura..
 
Last edited by a moderator:
naona mapovu tu kwenye utumbo huu uliopost. labda nirudie tu kwa kifupi. sina ugomvi na wachaga. ninamarafiki wengi tu. sihitaji kukushawishi kwa hili na wala sina cha kupoteza hata ukikubali au usikubali. lakini hilo lisaccos lenu nalichukia. najua inakuuma ndo maana umetokwa na mapovu kiasi hicho penginepo ndo kula yako ilipo, sorry kwa hilo, lakini Mungu ni mwema atakuonesha sehemu ingine ya kupatia kula. wachaga wadumu na wala sina shida nao hata kidogo. HILO LISACCOS LENU LIFE HATA LEO.
Abunuasi huwezi kuwa na hali bora kuliko jina lako...kwanini unadhani asilimia 40 ni kubwa?Wewe kwa njaa zako huwezi nishawishi kuwa hao wachga wkaipata tatizo unawalilia wao..huwa unajililia mwenyewe na shida zako kwamba utakopa wapi...ili ulipe visa vya ccm vikianza na rushwa ikishika hatamu.....Kwanini usiwaambie kuwa huwapendi na unawaponda ktk mitandao?Mwehu wewe....km unaichukia CDM si ungeisema tuu kwanini uwashambulie wachaga km vile ni wahalifu na uwepo wao ktk chama cham akinapoteza sifa ya kuchaguliwa...mbaguzi mkubwa wewe...kwa akili ya kwenye kinyeo...unadhani utaweza beaba chuki na uduni wa makabila yenu ktk vita na wachaga..huwezi kuwa legelege halafu ukavaa mavazi ya askari wa kirumi ukiamini utapigana km jet lee..? Mtauza hadi nchi ila hamtokaa muwezi washinda wachaga...kang`onei hadi kahawa,migomba na kupiga marufuku hele kufika kilimanjaro na kuziba na Maji masafi na bora nchi nzima....mtaishia kukimbizana na wazee, walevi na watoto ...wachaga Mungu wao alishawaambia watoke wakashambuie adui ktk ngome yake...watambae duniani kote...adui akose mahali pa kuwakusanya na KUWAUA KM HITLER ALIVYOUA WAYAHUDI..kuanzia hapo wayahudi ama nchini kwao Israel au Duniani kote. Structure ya wachaga..hadi wamisionary wa mwanzo waliipenda na walikuwa mfumo uliofanana na ukristu ktk Imani ya wachaga....walikuta kilimo kizuri, na hadi leo wamekuwa superior kuliko hata wapuuzi wanaoamini kuwa wabantu ni duni....wasio wabantu njaa zinawaua...wanauzwa km mbuzi...wanapigana vita za kuangalia pua, ...za ukabila km nyie, wachaga wanashida Vita bila kupigana na adui ila na maisha.sucess yao inapiga maadui....kamuulize wazazi wako...chuki yao dhidi ya wachaga mbona iliishia kuwaita watani wakati umbali wa makabila hakuna hata harufu ya kujuana kimila?
 
Yaani ukisikia mbwiga namba moja ndio wewe. viongozi wa Dar huwajui na hata wa taifa huwajua kwa hiyo hata uzi wako ni wa kimbwiga. Tangu lini Munishi akawa kiongozi wa Dar?
hata hueleweki.
 
kweli wewe ni msukuma maana kwa wasukuma hata kileo ni mpare. unachekesha.

mwamkp wa kisiasa hapa tanzania uko Kilimanjaro na utambue kilimanjaro kuna makabila mengi tu mfano kilewo siyo mchaga ni mpare na kwa taarifa yako kati ya vyama vya kisiasa kitoka kilimanjaro yaani mwenyevito ni zaidi ya saba, mimi ni msukuma lakini nikiangalia mwamko wa wasukuma uko wilaya moja tu bariadi kule mtu yuko tayaribkisafiri kwenda kumpigia mbunge wake kura lakini angalia chalinze 90 000 wakapiga kura 21000..je huwa mnajiyokeza kuwania nafasi kwenye vyama vya siasa au ulitaka ufatwe nyumbani kwako...
 
eti hawa akina mnishi na malya wanapigania vijana. Awapi, wanapigania matumbo yao acha kuongopea watu hapa jukwaani bhana.
Mawazo kama haya daima hayawezi kulisaidia taifa hili zaidi ya kulisambaratisha.
Mawazo kama haya ya kuanza kumbagua huyu na yule kwa kabila lake ama dini yake ni mawazo mufilisi yasio na chembe ya msaada wowote kwa hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili watanzania hususani vijana.

Ieleweke, viongozi BAVICHA wanapatikana kwa misingi ya kidemokrasia na hawa waliokp sasa hivi waligombea wakashindana na vijana wengine na wao wakashinda na sasa wanawahudumia vijana kwa nafasi zao.

Ieleweke mkutano mkuu wa BAVICHA unaundwa na vijana kutoka majimbo, wilaya na mikoa yote ya Tanzania kama ilivyo kwa Kamati Tendaji ya BAVICHA taifa inayoundwa na vijana wa mikoa yote Tanzania. Vyombo hivi ndio vilivyowachagua wakina Munishi na Heche kuongoza BAVICHA. Sasa kama wasukuma, wakurya, wabena, wangoni, wasambaa, wanyakyusa, wamwera, wahaya, wanyamwezi wamakonde n.k siku hizi ni wachaga, basi wachaga hao wanastahili pongezi.

Huyo Munishi (Katibu Mkuu wa BAVICHA) unayelia lia alishindana na watu tisa. (Taarifa tu)
Huyo Munishi na Mallyawanazungumza kuhusu tatizo la boda boda ambalo Chama Chenu cha CCM na serikali yake imelisababisha. Wanazungumza kuhusu tatizo la ajira ambalo serikali yenu ya CCM imelisababisha na kushindwa kulitatua.Wanazungumza kuhusu tatizo la elimu mbovu ambayo serikali yenu ya CCM imekua ikiwapa vijana hawa na hivyo mwisho wa siku wanashindwa kujiajiri na hata kuajiriwa.

Hizi ndio hoja za msingi za kujadili kama zina mashiko kwa mustakhabali wa vijana wa taifa hili na sio aliyetoa hoja ni kabila gani.
Uchaga wao unahusiana vipi na kukosekana kwa ajira kwa vijana nchi hii?
Uchaga wao unahusiana vipi na kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini?
Uchaga wao unahusiana vipi na kutokuwepo kwa mapinduzi ya viwanda nchi vitakavyoajiri mamilioni ya vijan wetu?
Uchaga wao unahusiana vipi na kutokuwepo kwa mapinduzi ya kilimo nchini ili kuajiri vijana wengi ?
Uchaga wao unahusiana vipi na kukosekana kwa uongozi bora nchi?

Vijana wa CHADEMA hawajali makabila ya viongozi wao kwani hawatambiki.
Vijana wa CHADEMA wanajali uwajibikaji, uongozi bora, umakini, utu na sio kabila la mtu.

Asanteni kwa kuelewa (Kama umeelewa)
 
naona mapovu tu kwenye utumbo huu uliopost. labda nirudie tu kwa kifupi. sina ugomvi na wachaga. ninamarafiki wengi tu. sihitaji kukushawishi kwa hili na wala sina cha kupoteza hata ukikubali au usikubali. lakini hilo lisaccos lenu nalichukia. najua inakuuma ndo maana umetokwa na mapovu kiasi hicho penginepo ndo kula yako ilipo, sorry kwa hilo, lakini Mungu ni mwema atakuonesha sehemu ingine ya kupatia kula. wachaga wadumu na wala sina shida nao hata kidogo. HILO LISACCOS LENU LIFE HATA LEO.
Km ni sacco si ukakope ..kwani usubiri bk 7 na kujidhalilisha hivi..?
 
Abunuas akili yako haina akili haona yofauyi na ua mwenyekiti wa ccm...
wale familia ya kikwete wamegombea na kushinda kihalali. au kwa lugha ingine wametumia demokrasia yao kama katiba ya nchi inavyosema. na uchaguzi wao ulikuwa public. sasa niambie zile familia za akina mbowe, densa, slaa, lisu na kadhalika zilizojazana pale bungene zilichaguliwa na nani? fikiria.
 
Back
Top Bottom