Hivi Dhaifu amekwenda Dodoma leo kufanya nini?
Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
Mmeesahau kipindi kile anasutwa na wabunge wa kike wa chadema? hivi alikuwa amekosea nini kipindi hicho? Na ni kwa nini siku hizo alikuwa adui wa wana Chadema humu Jf na sasa anaonekana kipenzi cha wanachadema humu jamvini?. Tanzania yetu hii, mambo huja na hupita watu wakasahau.
The unseen is illustrated by the seen.
Ukitanguliza maslahi ya taifa kila mtu atakupenda isipokuwa wezi. Sasa hivi Lowasa ametanguliza maslahi ya taifa, ameanza kung'aa kuliko mtu yeyote yule huko ccm. Tatizo timu anayosaidiana nayo haieleweki malengo yake. wengi wanaonekana ni mafisadi kuliko lowasa alivyodhaniwa kuwa
mkuu! Afghanistan na Iraq ni nchi ambazo zimepita katika vita sio ishu hata zikiwa omba omba sio hii tanzia ina miaka 51 ipo huru inaomba mpaka vyandarua na raisi anahongwa suti na waarabu hii ni aibu sana
Kikubwa jali maslahi ya walio wengi tu.Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.