Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya maneno hayo, aliunga mkono bajeti au aliipinga?Wakuu, nimeshangazwa na alichokisema Mh. Deo Filikunjombe, mbunge wa Ludewa, kwamba Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuwa ombaomba Duniani. Na ametia mkazo kwamba tunaomba bila sababu za msingi, moja ya saba kuu ni kwamba serikali ya Magamba haina nidhamu katika tutumia fedha tulizonazo, hali ambayo amesema hatutaendelea hata kama mapato yataongezeka mpaka wapi. Kwa hali hii, maoni yangu ni kwamba hii serikali imepoteza uhalali wa kuongoza.
Hivi Dhaifu amekwenda Dodoma leo kufanya nini?
Hakupinga wala hakuunga mkono. Hapo ndipo penye kautata kidogo.Baada ya maneno hayo, aliunga mkono bajeti au aliipinga?
Kumbe ccm nayo inakizazi hii kaliCCM ni baba yangu na CCM ni mama yangu, na Tanzania ni nchi yetu sote. Tudumishe demokrasia na mshikamano kulinda uhuru wa nchi yetu. Well done Filiku...(Njombe?)!!