Deo Filikunjombe: Serikali ni sawa na saa mbovu iliyosimama

Kwao walisema tunamtaka filikumjombe, hawakukosea wapangwa na wamanda kumwacha mwaluosi na kusema tunamtaka deo filikunjombe,. Viva deoooo
 
Napata shida sana kuelewa deni la taifa limefikaje trilioni 20+?? hii pesa imenunulia nini? au imejenga kiwanda kipi? au imefanyia nn? kabla ya kuanza kulipa deni ingekuwa vizuri sana CAG apitie hilo deni aje na taarifa clear ya kuonyesha hiyo pesa ilivotumika??halafu wabunge wa magamba a.k.a vilaza wanapanua midomo, mishipa imewatoka macho utafikiri wamenaswa na mtego kuponda upinzani na kutetea serikali hii ya mafisadi inayoongozwa na mr. Dhaifu (Mh. Mnyika et al) Watanzania tuamke! wabunge wa upinzani na wachache wa magamba mnaojali wananchi msijali matusi,kejeli na dharau zichukueni kama agenda mzilete kwetu tutawapa hukumu ya haki kabisa kama tuliyowapa Arumeru mashariki recently!!na akina filikunjombe, Ester Bulaya, Mpina et al msisubiri mfukuzwe jiondoeni tuunganishe nguvu tuwang'oe hawa manyang,au!!
 
kuna watu huwa wanatambua makosa yao mbele ya safari, Filikunjombe alianza vibaya ila nadhani ameanza kujitambua na kujaribu kujitenga na unafiki
 
Kijana wetu FILIKUNJOMBE ni msomi na kama ilivyo siku zote msomi aiwezi kutetea OOVU na ndio ilivyo ukweli. I salute you my SON never be cheated by money ya UFISADI and never keep quiet keep on educating them and telling them the truth. Sisi Watanzania tunaejua ukweli. Pamoja wewe ni CCM lakini ni MSAFI KIJANA WETU, USITETEREKE
 
Ni vigumu sana kupambana na adui unayeishi nyumbani kwake. Walijaribu akina Kilango wakaishia kulamba miguu ya watawala, kijana kama yuko serious avae gwanda

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mmeesahau kipindi kile anasutwa na wabunge wa kike wa chadema? hivi alikuwa amekosea nini kipindi hicho? Na ni kwa nini siku hizo alikuwa adui wa wana Chadema humu Jf na sasa anaonekana kipenzi cha wanachadema humu jamvini?. Tanzania yetu hii, mambo huja na hupita watu wakasahau.
The unseen is illustrated by the seen.

Ukitanguliza maslahi ya taifa kila mtu atakupenda isipokuwa wezi. Sasa hivi Lowasa ametanguliza maslahi ya taifa, ameanza kung'aa kuliko mtu yeyote yule huko ccm. Tatizo timu anayosaidiana nayo haieleweki malengo yake. wengi wanaonekana ni mafisadi kuliko lowasa alivyodhaniwa kuwa
 
deo umeonyesha kukua na KUKOMAA KISIASA.. KUMBE WEWE SIO MNAFIKI NA WALA SIO GAMBA UBARIKIWE
 
huyu jamaa kichwa sana..ila hukwaii kusikia wamemfanyizia ndani ya chama na siku zake zinahesabika
CHEZEA MAGAMBA WEWE
 
Ukitanguliza maslahi ya taifa kila mtu atakupenda isipokuwa wezi. Sasa hivi Lowasa ametanguliza maslahi ya taifa, ameanza kung'aa kuliko mtu yeyote yule huko ccm. Tatizo timu anayosaidiana nayo haieleweki malengo yake. wengi wanaonekana ni mafisadi kuliko lowasa alivyodhaniwa kuwa

Hata afanyeje Lowasa hasafishiki.
The unseen is illustrated by the seen.
 
mkuu! Afghanistan na Iraq ni nchi ambazo zimepita katika vita sio ishu hata zikiwa omba omba sio hii tanzia ina miaka 51 ipo huru inaomba mpaka vyandarua na raisi anahongwa suti na waarabu hii ni aibu sana

Na yule jamaa mwenye hati sabaa za kusafiri, nae yaelekea kampa vivasi.Hebu fikiri kidogo anawezaje kuwakwepa?
 
Kitakacho iuma serikali ni serikali yenyewe.The goverment is weak and has been borrowing strength to carry on through by creating things that divert people's attention on serious economical issues. Nikiona mambo kama babu wa Loliondo, kashfa karibu zote za awamu ya tatu, udini usioeleweka chanzo chake nini, naanza kushuku nini hasa nia ya kupigia debe mambo wanayojua mwisho wa siku hayabadili mwelekeo wetu kama Taifa. On a serious note, kama wameshindwa kupeleka hata pledge ya hela za maendeleo walizoweka ndani ya bajeti ya 2011/12, thenThe goverment is now totally exposed.
 
HERI WASEMAO UKWELI KAMA DEO FILIKUNJOMBE KWA KUWA UFALME WA MUNGU NI WAO...na wataitwa watoto wa mungu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom