Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

Sweden cuts aid to Tanzania

Published Saturday, February 1st, 2020

Sweden will reduce its assistance to Tanzania in the next five years. The government has decided this on the grounds that Tanzania has a negative development in terms of human rights and democratic space.

The aid will decrease by one quarter from SEK 800 million to SEK 600 million per year.

- We will reduce aid to Tanzania. We have been a major player in the country for many years, as a partner country, but developments in recent years have gone in the wrong direction. Shrinking democratic space, tougher grip on LGBT people and human rights, and also shrinking space for journalists, says Deputy Minister Peter Eriksson.

Ever since the 1960s, Tanzania has been one of Sweden's largest aid countries. But now the government has decided on a one-quarter reduction to SEK 600 million per year over the next five-year period.

The background is, among other things, that a dozen media companies have been shut down, inconvenient journalists and human rights activists are being imprisoned, and in local elections the regime countered opposition candidates.

Peter Eriksson visited Tanzania last year and criticized the President and the Prime Minister, among others.

- Unfortunately, I must say that it has not helped. Without us, we have made demands and the answers have not matched what we had hoped for, so that means we have to decide on a reduced effort in Tanzania, and above all, to reduce the efforts towards the state, says Peter Eriksson.

The new strategy provides support to organizations working for increased democracy, human rights and free media. In addition, the work for biodiversity and environmental assistance is being strengthened
2937F74E-1AF8-4788-9B8A-B3AE071ED9A9.jpeg

Assistance to Tanzania is thus reduced by one quarter. But the needs remain great and Sweden does not want to lose the knowledge and skills that exist, for example, in school education, says Peter Eriksson. But if the development goes even more wrong, aid can be stopped.

- We take strategies that are on a five-year perspective, but we can also change in the meantime. So that development would be tougher and harder and more negative then it is possible to change also during these five years, it is also important to remember. Although the intention is that Sida and other aid organizations should be able to plan their operations, says Peter Eriksson.
 
2024
👆
☝️

Kwanini nchi ya Sweden ilianza kukata misaada kidogo kidogo kuanzia mwaka 2019 ili ifikapo 2024 iwe inatoa misaada pungufu na sasa Denmark nayo imejiunga ktk 'chama' hicho ili nao mwaka 2024 wanasema watakuwa 'wamefikia' lengo.

Serikali ya CCM mjitafakari!
 
Alaf mi nashangaa sirik a l inasema sijui mahusiano yataendelea, mara misaada na ushirikiano bado utaendelea kuwepo.

Kwanza mi nadhani haya yote walitakiwa kuongea wadernmark wenyewe maana kama kuzingua tushazingua na ndio wananchi tunachojua hayo mengine ni kutapa tapa tu.
 
2024
👆
☝️

Kwanini nchi ya Sweden ilianza kukata misaada kidogo kidogo kuanzia mwaka 2019 ili ifikapo 2024 iwe inatoa misaada pungufu na sasa Denmark nayo imejiunga ktk 'chama' hicho ili nao mwaka 2024 wanasema watakuwa 'wamefikia' lengo.

Serikali ya CCM mjitafakari!
Hatuwezi kuishi kwa misaada. Sisi ni watu wenye kila rasilimali na utajiri wa kutupwa hatuhitaji msaada kutoka kwa panya yoyote yule. RIP JPM. Hawa watoto wa watumwa wanatuchelewesha.
 
Sweden cuts aid to Tanzania

Published Saturday, February 1st, 2020

Sweden will reduce its assistance to Tanzania in the next five years. The government has decided this on the grounds that Tanzania has a negative development in terms of human rights and democratic space.

The aid will decrease by one quarter from SEK 800 million to SEK 600 million per year.

- We will reduce aid to Tanzania. We have been a major player in the country for many years, as a partner country, but developments in recent years have gone in the wrong direction. Shrinking democratic space, tougher grip on LGBT people and human rights, and also shrinking space for journalists, says Deputy Minister Peter Eriksson.

Ever since the 1960s, Tanzania has been one of Sweden's largest aid countries. But now the government has decided on a one-quarter reduction to SEK 600 million per year over the next five-year period.

The background is, among other things, that a dozen media companies have been shut down, inconvenient journalists and human rights activists are being imprisoned, and in local elections the regime countered opposition candidates.

Peter Eriksson visited Tanzania last year and criticized the President and the Prime Minister, among others.

- Unfortunately, I must say that it has not helped. Without us, we have made demands and the answers have not matched what we had hoped for, so that means we have to decide on a reduced effort in Tanzania, and above all, to reduce the efforts towards the state, says Peter Eriksson.

The new strategy provides support to organizations working for increased democracy, human rights and free media. In addition, the work for biodiversity and environmental assistance is being strengthened
2937F74E-1AF8-4788-9B8A-B3AE071ED9A9.jpeg

Assistance to Tanzania is thus reduced by one quarter. But the needs remain great and Sweden does not want to lose the knowledge and skills that exist, for example, in school education, says Peter Eriksson. But if the development goes even more wrong, aid can be stopped.

- We take strategies that are on a five-year perspective, but we can also change in the meantime. So that development would be tougher and harder and more negative then it is possible to change also during these five years, it is also important to remember. Although the intention is that Sida and other aid organizations should be able to plan their operations, says Peter Eriksson.
Stuxnet
 
Hatuwezi kuishi kwa misaada. Sisi ni watu wenye kila rasilimali na utajiri wa kutupwa hatuhitaji msaada kutoka kwa panya yoyote yule. RIP JPM. Hawa watoto wa watumwa wanatuchelewesha.

Hapo ndipo tunadanganyana kuwa sisi ni matajiri wakati hatuwezi kugeuza jiwe asilia lenye madini ya chuma au Shaba kuwa sufuria au ringi la tairi la baiskeli ili tuweze kutumia utajiri wa maliasili kujiendeleza kiuchumi.

Makala hii hapa chini Inafafanua Tanzania chini ya utawala mkongwe wa CCM ilivyoikwamisha nchi na watu wake kupata maendeleo ya kweli. CCM imebaki ikipiga porojo na nadharia za nchi yetu kuwa tajiri wakati utajiri huo tumeshindwa sisi wenyewe kuutoa katika hali ghafi uende katika kuunda vifaa (tools) ili kuunda mashine za kuchakata malighafi kuwa Mali kamili kwa matumizi yetu kutengeneza utajiri mfano Mali kamili trekta lililotengenezwa litumike katika mashamba ya vijijini au kuuza mali kamili iliyoundwa (manufactured) iwe kifaa au mazao yaliyochakatwa nje ya nchi n.k

Tuesday July 22 2014​

Tunapofundisha masomo badala ya maarifa tutafika?​

Nadharia na masomo haviwezi kutuvusha kwenye umaskini wa akili na umaskini wa kipato. Nadharia mbovu kuwa tukiwabana kwa mikataba ya mrabaha mizuri wawekezaji wanaokuja kuchimba madini ardhini au kuvua samaki ktk bahari kuu wakachukua maliasili hiyo kwenda kuchakata huko nje basi Tanzania itakuwa tajiri.

Tukiwajaza wananchi majuzuu ya nadharia na masomo ambayo hayawapi maarifa wala kuwafanya wawe wavumbuzi wa majibu ya matatizo yetu ni kutwanga maji kwenye kitu.

Wenzetu walioendelea waligundua hilo mapema wakaachana na masomo sasa wanafundisha ujuzi, maarifa, uvumbuzi, utambuzi na ung’amuzi wa fursa za kimaendeleo na kuitafiti dunia.

Nimewahi kuandika kuwa wapo watu ambao hawajaingia darasani kabisa lakini wanaishi maisha mazuri kimifumo ya jamii zao bila kuwa na uhaba au upungufu wa mahitaji ya msingi kama maji, chakula na malazi. Wako babu zetu vijijini wana ujuzi na maarifa ya kutosha hata kutabiri hali ya hewa na majira ya misimu na wakachukua tahadhari lakini hawajui kusoma na kuandika.

Kiasili binadamu ni viumbe ambao Mungu ameweka ufahamu na weledi mkubwa bila kujali umezaliwa na nani. Ndiyo maana mtoto wa miezi minne hawezi kupeleka chakula sikioni; analenga ulipo mdomo bila kufundishwa.

Kama Mungu hakuuweka weledi/umaizi hakuna mtu anayeweza kuuweka weledi huo.
Weledi asilia na umaizi ambao Mungu amempatia mwanadamu ndiyo kiungo kikuu cha mafanikio yake.

Anachotakiwa kufanya ni kukuza vipawa hivyo, kuvipalilia vipawa hivyo ili vichanue na vitamalaki. Shule ziko kwa ajili ya kukuza na kuchagiza ujuzi, weledi, umaizi na vipaji vya binadamu ili vikue na vichanue siyo kukaririsha watu masomo au nadharia.

Wavumbuzi na wagunduzi wote hawakufundishwa darasani kuvumbua wala kugundua, ni akili yao ya kuzaliwa iliyosaidiwa na mazingira ya kutafakari na furaha ya ndani ya moyo.

Sasa, iweje leo tudharau asili ya akili na weledi wetu eti kwa sababu tu tuliachiwa masomo na wakoloni? Hata kama mtoto ana kipaji cha kuimba unalazimisha tena kwa kumchapa viboko ajue kanuni za pembe mraba? Unamlazimisha akariri tarehe ya kugunduliwa fuvu la mtu wa kale. Unamlazimisha akumbuke tarehe aliyofika Vasco da Gama ghuba ya uajemi na Rasi ya Tumaini jema, ili iweje? Jiulize wanaojua kuimba hawaishi? Wanaojua kucheza mpira hawaishi? Wanaojua kuchonga hawaishi? Wanaojua kujenga hawaishi? Wanaojua kuhubiri hawaishi? Wanaojua kufuma hawaishi? Wanaojua kutibu watu hawaishi?

Ujuzi, maarifa, utambuzi na ung’amuzi ndiyo kitovu cha mtalaa makini siyo nadharia. Ndiyo sababu nchi mfano ya Japan haijajaliwa maliasili nyingi ardhini na baharini lakini wanauwezo wa kuunda mashine na vifaa vingi viwe vya kieletroniki, chuma n.k au kwenda kuvua samaki ktk bahari Kuu za mbali na nchi yao kwa kutumia meli kubwa ya uvuvi zinazoweza kuvua, kuchakata samaki na kuwahifadhi tayari kwa mauzo yaani meli hiyo hiyo ni kiwanda cha samaki ikiwa bahari kuu.

Jiulize kipi chenye manufaa kupata ujuzi kuhusu ufugaji bora na uvunaji wa gesi ama kujua idadi ya marais duniani? Kipi kina manufaa, kupata ujuzi wa kilimo bora au kujua vita vya kwanza vya dunia viliaza lini? Kipi kina manufaa kujua kanuni za ujenzi au kujenga? Kujua mbinu za ujasiriamali au kujua miyeyuko ya barafu huko Ulaya?

Elimu asilia ndiyo imefanya nchi zilizoendelea kutafakari aina ya maarifa wanayotakiwa kuwapa watoto wao ili waitawale dunia. Siyo kwetu maarifa hayatolewi kabisa, na msisitizo uko kwenye kukalili mada za masomo, ili kesho watukiwe shahada.

Vyuo vikuu vyetu Tanzania na Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara kwa ujumla wanafanya bidii kukalili maandiko na nadharia za wanafalsafa wa kale-kisha wanatunukiwa digrii nyingi. Wanaitwa wasomi madaktari-pasipo ujuzi wala maarifa.

Wasomi wetu wenye degree, masters na PhD zao wakirudi kwenye jamii wanajikuta walichosoma hakifanani na hakiwasaidii wao na jamii yao kuyakabili maisha. Wanabaki kulalamika na kudai posho tu. Haya ndiyo malengo ya elimu? CCM chama kilichopo madarakani toka uhuru mtuambie WaTanzania sera yenu na ilani inayozungumzia elimu kwanini imeshindwa kumkomboa mtanzania!

Maarifa asilia waliwafanya babu zetu wasiojua kusoma na kuandika waweze kufanya biashara hadi nchi za jirani wakitembea kwa mguu bila kuwa na gari wala nyenzo-vivyo hivyo wamachinga wa leo. Lakini profesa wa biashara hawezi hata kuuza karanga.

Maarifa asilia ndiyo yaliyowafanya nchi za Ulaya watafsiri elimu sahihi iliyokuwa kwenye falsafa na teolojia zaa kale. Kuweka maarifa na ujuzi huo kwa lugha za jamii zao ili wayafahamu na kuyafanyia kazi kujiletea maendeleo. Kweli maendeleo yakafanyika!

Hata wanasayansi wengi waliogundua kanuni na fomula nyingi zilizotumika kutengenezea vitu kama magari, ndege hawakuwa na vyeti vingi. Wengine hakuwa na vyeti kabisa, bali walitumia muda wao mwingi kufikiri na kubuni kikamilifu hadi wakaibuka na manufaa hayo makubwa yaliyoibadili dunia hii.

Nadharia na masomo havitusaidii. Elimu ya asilia na maarifa tumizi ndivyo vitatusaidia kuondokana na umaskini wetu. Kubadili mitaala hukutusaidii, kurahisisha vigezo vya watu kupata digrii hakutusaidii, kuongeza idadi ya wasomi wa vyeti hakutusaidii na hata kujenga vyuo vikuu lukuki hakusaidii.

Kitakachotusaidia kama nchi ni kuachana na masomo tuliyoachiwa na wakoloni na kuanza sasa kuelimisha watoto wetu kwa elimu asilia na maarifa tumizi ili wawe wavumbuzi, wagunduzi, wabunifu na wenye maadili ya kuitafsiri dunia.

Elimu asilia inawapa maadili ya rohoni watu kuwa watendaji siyo wapiga porojo. Elimu asilia inaibua vipaji na vipawa na kuvichepusha ili vitamalaki na kumsaidia mtu kuingiza kipato.

Elimu asilia itawawezesha Watanzania kujua rasilimali zao na kuzitumia kupata nafuu ya maisha na utajiri. Ndiko kwenye siri ya mafanikio. Mungu atusaidie kung’amua hili.

Makala hii kwa hisani kubwa Source:

MwanaJF makala hii pia imeongezewa maneno hapa na pale ili kuonesha udhahiri wa hali ilivyo Tanzania
 
Hatuwezi kuishi kwa misaada. Sisi ni watu wenye kila rasilimali na utajiri wa kutupwa hatuhitaji msaada kutoka kwa panya yoyote yule. RIP JPM. Hawa watoto wa watumwa wanatuchelewesha.

"Sio umiliki wa rasilimali ghafi bali utumiaji wa raslimali ndio chanzo cha utajiri wa mapato na mali " - Ludwig M. Lachmann

Understanding the Market as a Process: Ludwig Lachmann's Approach to Subjective Market Processes

Ludwig Lachmann and the Market as a Process in Austrian Economics
Source : Dr. D University
 
Wakubwa walisema tabia ya kufanya mambo kwa kificho hasahasa yale mabaya, usipojirekebisha huko mafichoni utakuja umbuka hadharani. Ona sasa kuficha kote kwa maovu ya serikali ya CCM sasa mambo yote hadharani kimataifa.

¨If we do not undress our character in the intimacy of reflection, it will undress us on the public stage.¨ -Yokoi Kenji Diaz
¨Si no desnudamos nuestro carácter en la intimidad de la reflexión, este nos desnudará en el escenario de lo público.¨ -Yokoi Kenji Diaz
 
"Sio umiliki wa rasilimali ghafi bali utumiaji wa raslimali ndio chanzo cha utajiri wa mapato na mali " - Ludwig M. Lachmann

Understanding the Market as a Process: Ludwig Lachmann's Approach to Subjective Market Processes

Ludwig Lachmann and the Market as a Process in Austrian Economics
Source : Dr. D University

Where did I say ''umiliki wa rasilimali ghafi?''
 
Wakubwa walisema tabia ya kufanya mambo kwa kificho hasahasa yale mabaya, usipojirekebisha huko mafichoni utakuja umbuka hadharani. Ona sasa kuficha kote kwa maovu ya serikali ya CCM sasa mambo yote hadharani kimataifa.

¨If we do not undress our character in the intimacy of reflection, it will undress us on the public stage.¨ -Yokoi Kenji Diaz
Bora useme wewe maana zile pesa za NSSF mlizozoea kupiga zilisimamishwa, badala yake mmekalia umbeya tu.
 
Where did I say ''umiliki wa rasilimali ghafi?''

Rasilimali yoyote ambayo haijachakatwa iwe makinikia, almasi, tanzanite, gesi, helium, Iron ore / Chuma, shaba , nickel , watu ghafi wenye elimu ya kukariri bila uwezo wa kutengeneza masufuria ya shaba n.k bila kuongezewa thamani kwa aina yoyote ni maliasili na rasilimali ghafi.

Nchi yoyote ili iendelee na kuleta utajiri lazima iwe na viwanda vidogo na vikubwa vya kubadilisha mazao ghafi kama chuma n.k kuwa bidhaa na machine pamoja na vifa kazi (tools) huu ndiyo mtaji mkubwa kuifanya nchi kuwa tajiri. Hakuna nchi iliyofanikiwa kuendelea na kuwa tajiri kwa kusafirisha mazao yote ghafi nje ya nchi kisa kuna 'mikataba mizuri'
 
Back
Top Bottom