DENl LA TANZANIA PICHANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DENl LA TANZANIA PICHANI

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Jun 7, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tukiwakamata na kuwabana wezi wakubwa watano tuu nchini tunalipa hili deni bila tatizo. Tuache michezo ya kuigiza jamani. This is very serious!
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmm!...,Hatari ya dangerous
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Swali ni kuwa pesa zote hizi zimefanya kazi ipi?Kama hakuna cha maana kilichofanyika basi kamata wahusika weka ndani,chapa viboko mpaka waeleze walikozificha..
   
 5. w

  wikolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Viboko havitasaidia sana, nadhani cha msingi ni kuiga ile adhabu ya China wanayopewa watu wenye makosa ya ufisadi!
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu adhabu ya China ni kweli inatisha,lakini tukiwapa hawa ile adhabu wataondoka na kuwaachia warithi wao kile walichotuibia,ndio maana nikasema ni kuwachapa viboko tu kila siku asubuhi na jioni mpaka waseme wamezificha wapi na kuzirudisha..
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Yaani umasikini wetu unasababishwa na viongozi wa serikali ya CCM
   
 8. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  mbona mnanichanganya juzi tu bugeti ya upinzani ilionyesha kuna ongezeko la Deni la taifa kutoka 11 trilioni mwaka jana hadi 22 trilioni mwaka unaokuja wa fedha?
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,971
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Yes let us do now.... Who will bell the CAT.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Ila nina IMANI ya kwmb siku zao zimefika hakika!
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Mbona tulifunga mkanda na tukasema hata kama ikibidi kula nyasi lazima ndege ya raisi wetu inununuliwe..... HATUWEZI TUKAFUNGA MKANDA ILI TULIPE HILI DENI...???
   
 12. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Mi nina Imani Mkapa na Kikwete wanaweza Kulipa,maana hawa wanajua ela zipo wapi?
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Inauma nchi inapobebeshwa mzigo wa madeni ambayo hayajatunufaisha
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,641
  Trophy Points: 280
  Au kwa lugha nyepesi ni sawasawa na kutandaza hayo manoti katika viwanja 2241 vyenye vipimo sawa na uwanja wa mpira wa Old Trafford(105m x 65m) au Santiago Bernabeu(105m x 65m) baada ya kung'oa sehemu ya majani.
   
 15. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa hesabu hii na kila mtu na aanze kulipa sehemu yake ya deni la taifa....du inauma sana hata hatujafaudu hiyo hela !
   
 16. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Za kwangu na wanangu ninazo nimlipe nani?
  Nipeni akaunt ya mdeni nimtoe nisije kufa na deni pamoja na kuwa sijui zilitumika vipi?
  Tena kwa hasira nalipa kwa dola.
   
 17. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Hilo deni ni tangu ukoloni au baada ya uhuru? naomba mtupe maelezo yakinifu kuhusu deni lilivyokuwa na kuongezeka kwa kila awamu ya uongozi wa maraisi waliokuwepo hadi sasa. Pia msisahau na kutupa taaarifa za wahujumu uchumi (mafisadi) na kiasi walichohujumu tangu nchi hii inapata uhuru. Hii itasaidia kujua ni kiasi gani kilichotumika ipasavyo na kiasi gani hakikutumika ilivyokusudiwa ili sasa tujue wananchi walalahoi na hii mishahara midogo na biashara mbuzi tulizonazo tuchangishe kiasi gani tulipe. Mwisho tuweke sheria kwenye katiba kuwa marufuku kukopa kwa wazungu kwa sababu rasilimali tulizonazo zinatutosha kujikimu na majukumu yanayotukabili.

  KWA MAHITAJI YA BAJETI YA MWAKA YA TRILLIONI 10 = KILA MTANZANIA (WANANCHI MILIONI 35) ACHANGIE TSH 300,000 ...HIVYO SIONI UMUHIMU WA KUKOPA KWA WAZUNGU.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Hizo pesa zinazokopwa zinaenda wapi?
   
 19. H

  Hute JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,053
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  kama kila mtu anaweza kulipa laki tatu na thelathini na kitu tu, si tuchange tu jamani tulipe deni hilo tuondokane na ukoloni?....mbona kama kila mtu atachanga tutaweza kulilpa lote....
   
 20. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,732
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Eti tuchange!!! Tumchangie nani? Na kwa nini? Je wakiendelea kuiba, tuchange!!! Anayesema "TUCHANGE" sawa na anayepanga kuongeza maji kwenye ndoo iliyotoboka kwa chini.
  SULUHU: Kama China, kila atakayehujumu Taifa anafilisiwa mali zake zote!
   
Loading...