mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Hute unaelewa maana ya kila mtu? Kila mtu ina maana wazee kwa vijana na hata mtoto aliyezaliwa leo anadaiwa kiasi hicho cha pesa. Sasa chukua familia ya watu 6 (baba, mama na watoto 4) uchanganye na umaskini wa mtanzania ndio utaweza kujua kama kweli kila mtu ana uwezo au la wa kuchangia kulipa hilo deni.kama kila mtu anaweza kulipa laki tatu na thelathini na kitu tu, si tuchange tu jamani tulipe deni hilo tuondokane na ukoloni?....mbona kama kila mtu atachanga tutaweza kulilpa lote....
Last edited by a moderator: