gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
- Thread starter
- #41
huwa nasema hivi katika mapenzi ,hasa ya sasa kamwe usiachie moyo wako kukusaidia kutoa last say.wacha ubongo wako ufikiri
reason for denial.
1.gambler
2.risk taker
3.mapenzi upofu
4.kutokutumia ubongo wako ipasavyo
5.imani haba
6.kutokutambua thamani yao hapa duniani
kwa upande wangu siwezi onesha denial sababu naishi duniani siishi mars mimi watu wanakuambia ,wameona pengine umeshuhudia.ninachokifanya nakusanya mafail ya evidence,na kila niambiwacho natumia ubongo wangu kufikiri namsoma yule mtu kweli bila kumhurumia wakati nafanya investigation zangu na bila kuchanganya mapenzi,nakuwa na volume .from there naweka conclusion.
kwenye mapenzi hakuna kamari bana yaani ukitaka kuyafurahia lazima uishi uhalisia. nimependa sana mchango wako Nivea
Last edited by a moderator: