Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
mimi nafkiri ningekuta si kweli wala nisingekuwa na shida as nilikuwa nataka kujua ukweli na ukweli kwangu ulikuwa ni yy kuwa clean but nipofika kwamba hauko clean na penyewe sikulaumu sana kwana binadamu tunatofautiana
Mtu akikwambia jambo kubwa kumhusu mpenzi wako ikisha wewe ukachunguza ukaona hilo jambo halipo kwa mtazamo wako basi kutakuwa na mawili
Ama utamtilia shaka na kukata uaminifu kwa huyo aliyekupa "facts" au utamtilia shaka huyo mwenza wako
Mimi binafsi siwezi nikamwambia mtu sifa mbaya ya mwenza wake kwa sababu haijanihusu