NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
mi ukiandika kiswanglish nachelewa sana kuelewa!!!Ni kitu gani hutokea hadi mtu una deny jambo ambalo ni facts hasa mwenye mahusiano? what makes our eyes and ears closed?? kwa extent ya kuja kujuta baadae??
je mtu una deny jambo kwasababu gani??
je ni kwasababu uko sure of the ultimate results??
ama je hujui but unaamua tu out of empty slut??
ama unaamua kuwa risk taker and gambler??
sijui kama nimeeleweka but think of mtu anasema wewe gfsonwin huyu fulan hakufai kuwa mwenza wako, despite proof toka kwa watu wa karibu na hata wengine usiowajua lkn wewe unachukulia kama vile sijui ni utani ama haiwezi ama ni uzushi unasonga mbele na mtu wako. kisha inatokea tena huyu mtu anakuja kuwa kama ambavyo wengi walisema je nini husababisha haya?? why denying the truth at first sight?
Nimejikuta nawaza kwa sauti kwasababu ya novel moja nikuwa naisoma jana ya JAFFERY ARCHER inaitwa KANE & ABEL utamuona jinsi ambavyo mke wa tajiri Richard Kane aliyeitwa ANNE CABOTS alivyokuwa ana upinga ukweli wa tabia ya mwenzi wake mpya Henry Osborne hadi kumsababishia kupoteza kiasi kikubwa sana cha hela ambacho kilikuwa ni urithi wa mwanae WILLIAMS aliyeachiwa na marehem baba yake Richard Kane na hata yeye ANNE kupoteza maisha.
jitahidi kutumia lugha moja ili upate wachangiaji wengi