Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
313
Reaction score
2,649
Sikiliza hii video:

 
Ukitembea dodoma na kuona aina za nyumba zinajengwa na watumishi wa serikali huhitaji kuuliza..kuna rushwa kubwa kubwa ndani ya serikali na huko ndiko pesa zinazokopwa zinaishia..mtumishi wa serikali anajenga nyumba ya million 400 ndani ya miezi 3 hata mshahara wa Rais hauwezi kutosha.
 
Back
Top Bottom