Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba, amewataka wanaharakati na wakosoaji wa Serikali kuwa na usawa wanapotoa tathmini ya utendaji wa Serikali ya awamu ya sita kwa kutaja pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia...
Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi:
Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021.
Serikali imeweza...
Poleni sana Askari wetu wa barabarani.. Tunaweza kuona magumu mnayopitia..
Hakika kwa upande wa kuhakikisha Sheria za Nchi zinafuatwa, Samia kaupiga mwingi.
Karibu kila mtu anajua kuna hali tete sana kuhusu uongozi wa Raisi Samia kukubalika na viongozi wengine ndani ya CCM. Na kwa sababu CCM ina utaratibu mbovu kwamba Rais ndie anakuwa Mwenyekiti wa Chama, viongozi wengine wanakuwa hawana sauti, hadi kufikia kujiondoa katika safu ya uongozi pale...
Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi Shilingi Bilioni 86 Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji wa Miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.