Demu ya kibongo atoa mpya New York

Demu ya kibongo atoa mpya New York

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
200
A woman from TZ is sitn in a bar in New York with 2 guys beside her. The 1st guy says 2 the barman "Johnie Walker, single". The 2nd guy blurts "Jack Daniels, single". After that, the bartender approaches the lady & asks "& you madam?". She replied with comfidence "Asha Selemani, married.

Muhudumu akabaki kumshangaa kinywaji gani tena hiki.
 
ahahahaha, lol
au SIAMBILIKI MWANAKWETU DIVORCED
 
Hongera mkuu umenichekesha sana
 
Niwe mkweli, nimeiona hii joke so many places, ila leo ndo nimeweza kuielewa...maana umemalizia na "ndo kinywaji gani tena hiki?" mi sikujua kuwa hivo ni vinywaji, I siriasly thought ni majina ya watu... Thanks kwa kufafanua!!!!
 
huna tofauti na Asha selemani.
 
Niwe mkweli, nimeiona hii joke so many places, ila leo ndo nimeweza kuielewa...maana umemalizia na "ndo kinywaji gani tena hiki?" mi sikujua kuwa hivo ni vinywaji, I siriasly thought ni majina ya watu... Thanks kwa kufafanua!!!!

huna tofauti na Asha selemani demu wa kibongo.
 
hihihihihihihihehehehehe!!!!! Mtu wangu umeniongezea u-handsome!!
 
Back
Top Bottom