Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 362
Eti ukute demu ya Kenya inapenda Pesa mpaka inakomba yote hafu havai wigi wala kula bata kwa hela aliochukua kwa men wake, demu ya Kenya INA invest halafu inakuambia ona hela uliyinipa waona nimefungua biashara lakini ya bongo ni viraza utasikia asante kwa kunipendezesha umefanyaningare halafu hapo hapo inaomba Pesa ya usafiri. Midemu ya bongo kueni serious inamaana men wako akiwa hana hela basi nawe huna, 😕😕😧