Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Kenyans online call for the arrest of gun-toting woman http://ow.ly/4pcu30ob6C3
source : NTV Kenya facebook account
Hao ndio mademu wa kenya ss hapo ukishindwa mpatia chapaa lazima akumwage ubongo shenzi kbssss

1553759016263.png
 
waleteni na madada zenu tuwaone...si eti unasifia wanawake wa bongo wazuri alafu dadako nyumbani anakaa km mjusi...
Wana vidada vizuri lakini si vyote.Halafu ni vichafu kupindukia. Dem anasema anunuliwe chipsi mayai na vidume vyao badala ya always! Anatumia matambara shuleni na kunuka hedhi mchana kutwa.
 
nna mshikaji wangu mtoto wa keko alikuwa anawadanganyaga yeye ni mr blue ameyala kinoma yalikuwa yanamfungia safari sasa kama na ninyi wakenya mnaweza danganyeni dadazetu eti wewe ni kaligraf jones alafu uone kama ufala wako ataubeba ahahahaha nyie hamtuwezi ujanja wa maneno wazee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wew tunazungumzia huku mtaani achana na celebrities, ukikatiza mitaa ya Kenya unaweza kukimbia utasema upo msituni yaani Nyani si Nyani,Ngedere si Ngedere 🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kuna ka-club kao 8020 wapowapo mademu wazuri kidogo,ila mtaani huko ni shida
 
ndio ukwel huo...kila mtanzania ana ulemavu wa akili...mwenzako huyo kasema kenya kuna mrbo mmoja pekee...je wewe unalichukuliaje hilo swala
Kiukweli mimi niliona Kenya na TZ hakuna tofauti sana ingawa kwa idadi ya wasichana wenye sura mbaya Kenya ni wengi zaidi ya TZ,wasomali na waethiopia wanafanya Kenya kuwa na vidada vizuri,pia nadhani wakikuyu kidogo wapo kama waarusha wetu
 
Back
Top Bottom