Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Mpaka huu ukakasi wa jinsia utolewe na mtoa mada ndio nitachangia vyema kwa maana hata mimi simuelewi
Sasa mkuu just imagine ulikuwa unafikiri kuwa jamaa ni ke mnawekeana ahadi kedekede huko pm kuwa mkutane somewhere ili ule tunda la katikati unafurahi sana bila ya kujua kuwa jamaa ni me na anataka yeye ndo akupande wewe,sometime pm ni kuchungu kwelikweli!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Aimennnn. allleelluuuuijaahhh! '
mahondaw you are my Queen, the girl of my dreams...
I can't deny this feeling am feeling inside no one can ever take your place, can ever take your space, you are the one that makes me smile... you're the only one that I think of...

@mahondwa I'll give you my heart, my love, my body and my money, every other thing you think of in a man...

[emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Siku hizi masters na PhD zinachafuliwa na kuwa diluted na mapenzi![emoji22][emoji22][emoji22].......Mungu tusamehe!!
Mkuu kibongo bongo masters na PhD ni ngazi fulani tu ya elimu. Hawana tofauti na f4 na f6. Wewe bado una mitazamo ya kuamini kuwa hao wenye PhD na Master's wanajua kila kitu? Ni wa hovyo tu kama walivyo wengine.

Angalizo: lkn si wote na mm nikiwemo
 
Kweli mambo yanabadilika zamani haya mambo ya masters hayakuwa na umuhimu ila saivi ni moja ya kigezo cha ndoa
Siku hizi masters na PhD zinachafuliwa na kuwa diluted na mapenzi![emoji22][emoji22][emoji22].......Mungu tusamehe!!
 
Mkuu kibongo bongo masters na PhD ni ngazi fulani tu ya elimu. Hawana tofauti na f4 na f6. Wewe bado una mitazamo ya kuamini kuwa hao wenye PhD na Master's wanajua kila kitu? Ni wa hovyo tu kama walivyo wengine.

Angalizo: lkn si wote na mm nikiwemo
Mkuu lile sekeseke la kupata mimba ya mpaka kucha rangi linaendeleaje?Mume wako ameshtukia issue kwani?Mpaka rangi ameshafahamu kuwa una mimba yake?Kwa jinsi unavyoona mpaka rangi yupo tayari kuhudumia mimba na mtoto wake?
 
IMG_23988370409212.jpeg
 
Dah... Kwa mwendo wa haraka... Kutoka kutiwa mimba na msafisha kucha hadi kuoa beki3 wa exGf[emoji61] [emoji61]
 
Oa huyo mwanamke wewe kama ana vigezo vya msingi ...hawa wasomi ndo mabogus kwelikweli mwwnye ndoa zao....kazi kushindana tu ndani ya nyumba...
 
ado huja nielewa na ndio inonesha wazi hujui thamani ya hiyo masters unayoiskia watu wanayo.
Ahahaaaa nipe thamani ya masters.
Habari ya kuwa nayo au kusikia kwa watu haihusiki kwenye kunijibu swali langu
 
Back
Top Bottom