Masters vs Love, Beki3/housekeeper vs Love,WanaJF naombeni ushauri.
Baada ya kutendwa na demu niliyempenda sana nilkata shauri kuwa nile ujana mpk kieleweke. Ktk kula ujana huko palitokea wadada wenye nia ya dhati kabisa ya kuolewa na mm lkn niliishia kuwamega tu na kuwaacha solemba.
Mmoja wa wadada hao alinipenda sana, alionyesha mapenzi ya dhati kwangu na kunipa vya uvunguni kuliko maelezo. Nami kwa kuwa sikuwa tayari kuoa nilimzungusha mpk akakata tamaa.
Sasa hv kidume umri umeenda, nahitaji mke. Mwezi wa pili mwaka huu kunako fb huyo dada aliyekata tamaa (hatukuwa na mawasiliano kwa miaka 2) akanitaarifu ya kwamba yeye ameolewa na ana mtoto wa miezi 9.
Akaniuliza unaoa lini? Nikamwambia bado sijampata mtu sahihi. Nikimpata hata kesho naoa. nikamtania ya kwamba kama kuna mdada anayemfahamu katulia na ana tabia nzuri aniunganishe naye.
Baada ya wiki 2 kupita dada kanirukia hewani, haloo! Na akanijulisha kuwa mchumba kapatikana. Nikamwambia nipe jina lake analotumia fb/instagram ili nione picha zake. Nikatumiwa jina na kuanza kucheki. Mtoto yuko vizuri mno. Kidume nikavutika. Nikampa mrejesho ex-gf wangu kuwa kitu nakihitaji.
Mengi yaliendelea na mwisho wa siku nikakutana na binti mhusika. Huku na huku nikammega yule binti wa miaka 24. Kidume nikakolea nikajiapiza kuweka ndani mzigo.
Kumbe kwa muda wote huu binti alinidanganya mambo 3.
+Moja elimu yake, alidai amemaliza f4 kumbe ni la 7.
+Mbili mahala anapoishi, alisema anakaa kwa shangaziye kumbe anaishi kwa ex-gf wangu.
+Tatu kazi anayoifanya. Alisema anafanya kazi mgahawani kumbe beki 3.
Nimeyabaini haya baada ya kutaka kumtembelea ex gf wangu ili kumshukuru kwa kuniunganisha na king'asti huyu mwenye utamu wa halua. Akaona ataumbuka akaamua kuweka mambo hadharani.
Kuwa yule binti ni beki 3 wake na anakaa naye anamlelea mwanaye. Ufuuuu!!! Kidume nimepatwa na mshangao. Najiuliza niuache utamu huu uende zake ama niendelee na mipango ya kumuoa. Huyu ex gf hatonichafulia sifa yangu siku za usoni kuwa nimeoa beki tatu wake? Na je ni sahihi kwangu mm na masters yangu kuoa la saba? Kutakuwa na athari zipi ktk hili?
Nipeni mawazo ya kujenga ktk hili.
Af... Kha! Wewe c ulibebeshwa mimba n msafsha kucha ww? Yan nmejihangaisha iv? Kwaio leo we ME? af acha kucheza n akili za watu wewe bsWanaJF naombeni ushauri.

Mpuuuz uyuNaona hata uvivu kutoa ushauri, vijana wamezoea uwongo uwongo tu
Kula tano mkuu kwa kujikita kwenye madaOa huyo mwanamke wewe kama ana vigezo vya msingi ...hawa wasomi ndo mabogus kwelikweli mwwnye ndoa zao....kazi kushindana tu ndani ya nyumba...
Mkuu wala usihangaike na huyu mkolomije ana makaratasi tu yameandikwa PhD lkn kichwani mweupe kama chekechea. Wenye PhD kichwani huwezi kuona wakijimwambafai hapaAhahaaaa nipe thamani ya masters.
Habari ya kuwa nayo au kusikia kwa watu haihusiki kwenye kunijibu swali langu
Umetisha mkuu, napokea angalizo lakoElimu sio shida ila kama ni muongo hivyo jipange tu kuishi na muongo amekuficha mengi
Naomba ushauri wako kwa mada iliyopo mezani mkuuUshajifungua mtoto wa msafisha kucha?
Huyu sexless kama jina laka lilivyo hata yeye hajitambui ana jinsi ipi! Kwa kuwa anazo zote mbili namshauri achague moja ambayo ni active zaidi kuliko kuwa anakuja na threads zake kama 'me' na wakati mwingine anakuja ki 'ke'. Au atulie kwa kuwa 'all items are under one roof'.Huyu jamaa ni shoga kulingana na post zake
Ni Sexless hiyo mkuu.Mzee wa kubadili jinsia, staying true to your name. Hivi hii ID inatumika na watu wawili ama...