pole kaka but kama kakwambia ukweli au hata kama anafanya joking mpe muda kidogo umcheki ukiona haconctrate na wwe just leave her and mind ur own bussiness na huwez jua hueda kukuepusha na mengi,,achana nae and keep on waiting one day God will show u ur beautiful wife,,poleee