Demu wangu kabadilika, naombeni ushauri wana jukwaa

kig'ast1

Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Nilikuwa mbali naye kwa muda wa mwaka hivi yeye yuko mwanza na Mimi Niko Morogoro lakini tulikuwa tukikutana naye kila baada ya miezi kama miwili hivi lakini acha ajabu nimekuja kumuona wiki iliyopita nakutana na maneno eti hana hisia na Mimi tena.

Nimejaribu kumuuliza kiundani baadae kasema ashachumbiwa na jamaa tayari ashatoa mahali, na Mimi tayari tulikuwa time tam bulk Shana kwa wazazi na mimi nilikuwa Morogoro namalizia masuala yangu ya Nazi halafu mwakani tufunge nae ndoa awe mke wangu.

Yeye ni mtu wa Musoma, je wadau nifanyeje?

Na Ni kweli atakuwa kachumbiwa au ananiona Mimi sina jipya?

Naombeni ushauri wadau, matusi hayatakiwi kama huna pointi pita bila kucomment chochote.
 
Sijaelewa wewe hapa unataka kujua nini ....

Mwanamke ameshakuambia kuwa hana hisia na wewe na tayari ameshachumbiwa,kwanini unataka cha kufanya tofauti na alichokuambia?

Huyo mwanamke kama anakudanganya kuwa amechumbiwa au hana hisia na wewe inamaana hakutaki
Au hakutanii hii inamaana kweli amechumbiwa ....

Either way hakuna nafasi yako kwake hii inamaana kama anakudanganya inamaana hana mpango na wewe tena,kama anakueleza kweli inamaana anakwenda kuolewa na mtu mwingine

Achana nae na tafuta mwingine ........!!
 
inawezekana akawa anatania,inawezekana akawa yuko serious pia, mpe muda,ukiona hajishughulishi na wewe,let it go, Mapenzi hayalazimishwi,epuka kupotezeana muda katika mahusiano,haijalishi umemtambulisha kwenu. Ni hayo tu
 
Shida iko kwenye hii id unayotumia.
Ngoja nikuulize, nini maana ya hii jina? Halafu nitakupa dawa yake huyo. Lol
Nilimuwa mbali naye kwa muda wa mwaka hivi yeye yuko mwanza na Mimi Niko morogoro lakni lakini tulikuwa tukikutana naye kila baada ya miezi kama miwili hivi lakini acha ajabu nimekuja kumuona wiki iliyopita nakutana na maneno eti hana hisia na Mimi tena, nimejaribu kumuuliza kiundani baadae kasema ashachumiwa na jamaa tayari ashatoa mahali, na Mimi tayari tulikuwa time tam bulk Shana kwa wazazi na mimi nilikuwa morogoro namalizia masuala yangu ya Nazi halafu mwakani tufunge nae ndoa awe make wangu! Yeye Ni MTU wa musoma, je wadau nifanyeje,? Na Ni kweli atakuwa kachumbiwa au ananiona Mimi sina jipya? Naombeni ushauri wadau, matusi hayatakiwi kama huna pointi pita bila kucomment chochote
 
inawezekana akawa anatania,inawezekana akawa yuko serious pia, mpe muda,ukiona hajishughulishi na wewe,let it go, Mapenzi hayalazimishwi,epuka kupotezeana muda katika mahusiano,haijalishi umemtambulisha kwenu. Ni hayo tu

Aksante
 
Sijui wanakosaga ID ,sijui ni lack of creativity..
unakuta kuna mtu anaitwa mfano boss,
mwingine yupo bosi
ama Boss
 
Nilimuwa mbali naye kwa muda wa mwaka hivi yeye yuko mwanza na Mimi Niko morogoro lakni lakini tulikuwa tukikutana naye kila baada ya miezi kama miwili hivi lakini acha ajabu nimekuja kumuona wiki iliyopita nakutana na maneno eti hana hisia na Mimi tena, nimejaribu kumuuliza kiundani baadae kasema ashachumiwa na jamaa tayari ashatoa mahali, na Mimi tayari tulikuwa time tam bulk Shana kwa wazazi na mimi nilikuwa morogoro namalizia masuala yangu ya Nazi halafu mwakani tufunge nae ndoa awe make wangu! Yeye Ni MTU wa musoma, je wadau nifanyeje,? Na Ni kweli atakuwa kachumbiwa au ananiona Mimi sina jipya? Naombeni ushauri wadau, matusi hayatakiwi kama huna pointi pita bila kucomment chochote

Ki ukweli mimi sina point wala matusi.........napenda tu kukushauri.......wakati unatumia touchscreen.......jitahidi kurudia post yako Kabla ya kuiachia hewani............

shikamoo tachii...........
 
Unesema demu wako?! Kama si mkeo ya nini umg'ang'anie...kuna aliye mbadilisha kama sio wewe.
 
Nilimuwa mbali naye kwa muda wa mwaka hivi yeye yuko mwanza na Mimi Niko morogoro lakni lakini tulikuwa tukikutana naye kila baada ya miezi kama miwili hivi lakini acha ajabu nimekuja kumuona wiki iliyopita nakutana na maneno eti hana hisia na Mimi tena, nimejaribu kumuuliza kiundani baadae kasema ashachumiwa na jamaa tayari ashatoa mahali, na Mimi tayari tulikuwa time tam bulk Shana kwa wazazi na mimi nilikuwa morogoro namalizia masuala yangu ya Nazi halafu mwakani tufunge nae ndoa awe make wangu! Yeye Ni MTU wa musoma, je wadau nifanyeje,? Na Ni kweli atakuwa kachumbiwa au ananiona Mimi sina jipya? Naombeni ushauri wadau, matusi hayatakiwi kama huna pointi pita bila kucomment chochote

Sina ushauri bali nikukupe tu pole kwa maswahibu uliyoyapata.

Inauma kwani inawezekana una nia nzuri naye.

Kweli mapenzi kizungumkuti!
 
kweli umepaniki mpaka kuandika hivyo

mapenzi ya dhati siku hizi ni kama kukuta bikira kwa changudoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom