Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
ushaambiwa hana.hisia na ww...sasa unataka nini? tukusaidie kurejesha hisia? tafuta pesa kwanza au malizia shule utafute kazi mabinti ni wengi sana...over!
Nilimuwa mbali naye kwa muda wa mwaka hivi yeye yuko mwanza na Mimi Niko morogoro lakni lakini tulikuwa tukikutana naye kila baada ya miezi kama miwili hivi lakini acha ajabu nimekuja kumuona wiki iliyopita nakutana na maneno eti hana hisia na Mimi tena, nimejaribu kumuuliza kiundani baadae kasema ashachumiwa na jamaa tayari ashatoa mahali, na Mimi tayari tulikuwa time tam bulk Shana kwa wazazi na mimi nilikuwa morogoro namalizia masuala yangu ya Nazi halafu mwakani tufunge nae ndoa awe make wangu! Yeye Ni MTU wa musoma, je wadau nifanyeje,? Na Ni kweli atakuwa kachumbiwa au ananiona Mimi sina jipya? Naombeni ushauri wadau, matusi hayatakiwi kama huna pointi pita bila kucomment chochote
Acha zarau wewe, nyie ndo mnajifanyaga masister duu mnariiinga alafu matokeo yake mnapigwa na watu ambao hata hamkuwadhania!
Huna aibu kudandia treni? ???