asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Jifunze kuandika vizuri.
Malizia shule kwanza.
Acha kulia lia , wewe bado umri unaruhusu.
Hlf waswahili walisema fimbo ya mbali ni ngumu sana kuua nyoka.
Na mwisho hakikisha unaboresha uwezo wako wa kupiga pumbuu.