ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,386
Anakesha mpaka SAA 5 hujui mkeo kashinda na Nani,.Mateso ya hiari haya
Kwani ukimuacha utakosa nini?
Anakesha mpaka SAA 5 hujui mkeo kashinda na Nani,.Mateso ya hiari haya
Kwani ukimuacha utakosa nini?
Kuna ukimwi brotherlakini kweli si bora niwe najilia tu mzigo
hahhahahahaahahahahahahahahahahahah kweli maisha mapitoDaa nimekumbuka zaman kweli ...mtu unajua kabisa hayupo lkn naenda kwake msubiri hadi nione anaemrudisha ...unazunguka nje kama tahira .... Mungu anisaidie ule ujinga usirudi tena
Nilichojifunza usiku pametulia sana na kuna mambo mengi mno ...afu usiku hapatishi me nilikuwa nazunguka eneo moja hadi sa nane usiku🤔 sometime nakesha maana ukiondoka tu ndo anaeza rudi ukapoteza ushahidi
Halafu anakuambia hampendi sanaUna mke na watoto wawili ila mchepuko ambaye ni mzigo wa watu wengine tena single motheee anakuweka nje usiku ukimvizia kama sungusungu uone karudi kwake saa ngapi?
Are you normal!?
Anampenda ila eti sio kiviiiiiile. Hizi ndoa za utotoni ni jangaHalafu anakuambia hampendi sana
Mchepuko anakusaliti alafu unamaindi, una akili wewe?Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.
Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.
Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.
Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.
Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Moja ya vigezo vya kuoa wanawake Zaid ya mmoja ktk dini ya kiislamu ni...ngumu sana kumfatilia wife hivyo sababu usiku mzima unakuwa naye tatizo huko unapoondoka unarudi kwako unamuacha na nani? najiuliza sana waislam waliooa wanawake wawili
Atafaidi mpaka na Ukimwi sasa.Jifanye mjinga uendelee kufaidi!
Hili nalo neno?Na wife nae unamfuatilia hivyo hivyo?.
Kwahyo mkuu unataka uongezee mke?HII NDO ELIMU TUNATAKIWA TUPEANE ENHEE NAMBIE MKUU
Nipo makini kwa hilo ndo maana naogopa