Demu wangu ananisaliti kimtindo

Demu wangu ananisaliti kimtindo

Mkuu ungefanya uache tu hizo issue za kwenda kufuatilia mchepuko saa tano badala ulale na mke wako unapata shida ya nini,Alafu mwisho wa siku utapeleka Maradhi home itakuwa shida tu ,Nakushauri uache tu hizo nguvu peleka kwa mke wako.
 
kweli wewe masterplan
 
kweli wewe masterplan
Maana Kama unaweza kumtoa na kumrudisha kwake kwa usafiri wako huo mda Bora uitoe familia Yako na watazidi kukuombea na kukupenda zaidi,alafu hawaridhikagi hao viumbe wa nje hata umfanyie nini mwisho wa Siku Utwaitwa BUZI,DANGA na majina yote machafu...
 
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Mchepuko asikupe shida...

Wee ilimradi siku ukiwa unaham, anaisafisha

Unaipigaaa
 
duuu hapo umekufa umeoza .mpaka sa5 unamsubiri je hasingerudi? ce ungelala hapo nje wakati umehacha machalii hom na mama yao
wanaume ce niwavumivu sana, ukiona mpaka mwanaume mwwnzio kamuhacha mke tena ana mtoto.jua uyo ni shindikana.
 
wewe unachepuka nayeye anachepuka kwani kuna tatizo hapo
 
duuu hapo umekufa umeoza .mpaka sa5 unamsubiri je hasingerudi? ce ungelala hapo nje wakati umehacha machalii hom na mama yao
wanaume ce niwavumivu sana, ukiona mpaka mwanaume mwwnzio kamuhacha mke tena ana mtoto.jua uyo ni shindikana.
ukweli wa mambo unatakiwa ujionee mwenyewe sio uambiwe ukiambiwa unakuwa huamini nimeweza kukaa hadi saa 5 nikijua hawezi kumuacha mtoto zaid ya hapo namfaham sana hata iweje lazma saa 5 arudi home najua ratiba mkuu
 
Maisha haya,vp huo mda ambao ulikuwa kwa mchepuko kumbe kule nyumban wife wako analiwa nae hapo ndo utajua hujui!
 
ukweli wa mambo unatakiwa ujionee mwenyewe sio uambiwe ukiambiwa unakuwa huamini nimeweza kukaa hadi saa 5 nikijua hawezi kumuacha mtoto zaid ya hapo namfaham sana hata iweje lazma saa 5 arudi home najua ratiba mkuu
anajua na ww una mke wako huwez mfanya kitu we endelea kujilia mama usiwaze wanawake wote wanachepuka hata uyo wa nyumban
 
Unataka kumuonea wivu mwanamke ambaye sio mkeo???na mkeo je?

Usijifanye humpendi hlf upo busy kumchunguza acha ujinga,huo mda unaopoteza kacheze na wanao.

Tumia condom tu
 
Wewe una Mke nae katafuta mtu atakaemuoaa...!! Honga unavyowezaa kupotezaaaa lasivyoo utakujaa kufaa preshaaaa...
 
Back
Top Bottom