Demu wangu ananisaliti kimtindo

Demu wangu ananisaliti kimtindo

NIKIPATA ELIMU YA KUTOSHA BORA NIWE NA MKE KULIKO HII MICHEPUKO HADI UNASHINDWA KUSWALI
Si unamke na watoto mkuu....?

Kama unataka kuongeza utaratibu upo madamu ukidhi vigezo na masharti.
 
ngumu sana kumfatilia wife hivyo sababu usiku mzima unakuwa naye tatizo huko unapoondoka unarudi kwako unamuacha na nani? najiuliza sana waislam waliooa wanawake wawili

Hushan unazingua sana unapoteza muda ku deal na mchepuko...
Ongea nguvu kwa mkeo.
Kwa style hiyo wife atagundua na atakachokufanya utaumia sana.
 
Unaogopa kuachwa na huyo mwanamke. Heti simpendi sana kama mke wangu.

Ungekuwa humpendi sana kama mke wako ungelimuacha wala usingeogopa kumwambia ukweli.

Ungekuwa Mwanaume jasiri pale ulipompigia simu kasema anaoga ungemwambia nipo Dirishan kwako hapa au mlangoni kwako nakusubiria ukitoka choon nifungulie mlango.

Half uone majibu Yake.
Post kama hizi ujajishusha thamani
 
Unampenda mkuu ndo maana unawivu nae, cha kufanya tulia hom na mkeo utamletea maradhi kwa ujinga wako
 
Nashukuru sana wana JF kwa mawazo na maoni mazuri kwa kweli nilizoea kuwa na dem, mchepuko pembeni nikiacha huyu basi nitatafuta mwengine ilimradi tu niwe nae mchepuko ila kwa hili nimeachana nae huyu dem na sitaki tena kuwa na dem nabaki na mke wangu.

Napenda kutoa shukran kubwa kwa post ya sweet -R. jamaaa nimemuelewa sana. kaka asante sana ushauri wako nimeuzingatia, na kwa sasa nimeachana rasmi na huyu dem. nadhan nasubiri matusi tu kwa huu mchepuko maana naona kama haamini na hajaelewa.
asanten sana
 
Huo muda unaomfatilia huyo bibie, Bora uwahi kurudi nyumbani ukacheze na wanao na kuwafudisha kusoma wawe na msingi mzuri.
 
Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.
Unampenda sana acha kujipa moyo, ungekuwa humpendi usingepigwa baridi na ukang'atwa na mbu usiku kucha eti unamsubiri. KWani lazima uwe naye achana naye kuwa serious na mkeo.
 
Unampenda sana acha kujipa moyo, ungekuwa humpendi usingepigwa baridi na ukang'atwa na mbu usiku kucha eti unamsubiri. KWani lazima uwe naye achana naye kuwa serious na mkeo.
Kalishwa limbwata huyo fala....
 
duuu hapo umekufa umeoza .mpaka sa5 unamsubiri je hasingerudi? ce ungelala hapo nje wakati umehacha machalii hom na mama yao
wanaume ce niwavumivu sana, ukiona mpaka mwanaume mwwnzio kamuhacha mke tena ana mtoto.jua uyo ni shindikana.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
huyo anazingua, msambaratishe marinda then temana nae. Tulia na mkeo
 
Unampemda kuliko mkeo. Mwache mke ili uwe na huyo masaa yote.
 
Huyo mchukulie ni malaya.....na ndio ukweli pole!
jamaa anayemchukua anamchukulia ni malaya ndo maana ukimrudisha anakuja kumchukua plus dem yupo free mda wote kuongea na simu

huyo ni kimada...we mkaushie endelea kumla na usimchunguze...utaumia ww jua mpo wengi...unafkiri maisha yake na mtoto wake yataendeshwaje?

halafu kama umeoa na hauna experience ya wanawake utaumia sana...wife ataliwa,kimada ataliwa utabaki kichaa....

treat mke kama mke...na kimada abaki kimada...tena mchukulie kama malaya

halafu ulishawahi kujua kwann huyo mwanamke kaachwa kwenye ndoa yake? tofauti ya anavyokuambia?

acha kuchunguza we mle..siku ukichoka mle rafki ake
Anapomwita malaya na yeye ajiite nani? Hamna tofauti ya anachofanya mchepuko na anachofanya yeye!
 
Back
Top Bottom