Demu wangu ananisaliti kimtindo

Demu wangu ananisaliti kimtindo

mwizi akiibiwa mali aliyoiba nae eti anakuwa na uchungu utafikiri aliivuna kwa jasho 😀 😀 😀 😀
 
Tulia na mkeo !!!
Jikitize zaidi kutafuta hela kwa maendeleo ya familia yako !

Umesema upo blessed na two kids, definitely ndoa yako itakua changa, kwa unini usihangaike na kutengeneza future ya wanao kuliko kupoteza nguvu, hela na akili kwa ng'ombe ambayo Haina muda na wewe ? Nasema ng'ombe kwa sabb imeachika, pia ina mtu mwingine alafu ina wewe pia ,,,,

Yupo kwako kwa visenti kadhaa unavyompa ili aishi mjini
very true
 
Afuu mkuu hiyo tabia siku ya kimnyatia mzazi mwezangu iko siku ntakupiga pistol.huwa naskia Kuna mtu anamrudishaga mama mtoto wangu kumbe Ni wewe.jiangaliee
 
Afuu mkuu hiyo tabia siku ya kimnyatia mzazi mwezangu iko siku ntakupiga pistol.huwa naskia Kuna mtu anamrudishaga mama mtoto wangu kumbe Ni wewe.jiangaliee
hahahahahahahah dah nifurahi tu kwa kwel
 
Tulia na mkeo !!!
Jikitize zaidi kutafuta hela kwa maendeleo ya familia yako !

Umesema upo blessed na two kids, definitely ndoa yako itakua changa, kwa unini usihangaike na kutengeneza future ya wanao kuliko kupoteza nguvu, hela na akili kwa ng'ombe ambayo Haina muda na wewe ? Nasema ng'ombe kwa sabb imeachika, pia ina mtu mwingine alafu ina wewe pia ,,,,

Yupo kwako kwa visenti kadhaa unavyompa ili aishi mjini
POINT!!!
 
Sasa mkuu unataka umiliki wote peke ako sisi tutafaidi nin!! Vumilia tusaidiane tu
 
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Umri wako please.nahisi ni wale mliowahi kuingia kwenye ndoa kabla ya umri kupevuka
 
Back
Top Bottom