Demu wangu ananisaliti kimtindo

Demu wangu ananisaliti kimtindo

Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Wee mtu kaachika na una mke, BADO UNA MFUATILIA HADI SAA.5 ZA USIKU MKEO ANA KUSUBIRIA WA NIN??

na kama hali ndio hii, acha CCM iendelee kukaa madarakani
 
ngumu sana kumfatilia wife hivyo sababu usiku mzima unakuwa naye tatizo huko unapoondoka unarudi kwako unamuacha na nani? najiuliza sana waislam waliooa wanawake wawili
Walioowa wake wawili ni rasmi Mwanamke anatimiziwa mahitaji na anatulia akijijua mi mke wa mtu,

unaweza tembea na Mke wa Dr Mwaka wewe?.

Ss wewe uko unakula kimasihara unategemea nini?kamlinde mkeo
 
hapana mi naamini makandokando kwenye maisha yapo, nina 48 ndani ya ndoa nina 15
Unajitaftia pressure umri huo hata hujui out... Vzuri kwanini asichepuke na hujamuoa
 
Unasema unampenda kidogo sio sana lakini maongezi yako yanaonesha umekufa umeoza kwa mchepuko wako, lol
Yaan baba wa familia unaacha kuwahi nyumbani kwako ukakumbatie familia yako umejibanza sehemu kumsubiri mwanamke ambaye humpendi sana, [emoji23]

Bro, wewe enjoy a good sex(am sure ndio kilichokupagawisha) na wengine waache waenjoy a good sex sababu wewe umeoa na sio kama utamuoa pia.
Wanaume wa hivi wapo wengi aiseee

Ni wachache mno wanaojitambua
 
ukweli wa mambo unatakiwa ujionee mwenyewe sio uambiwe ukiambiwa unakuwa huamini nimeweza kukaa hadi saa 5 nikijua hawezi kumuacha mtoto zaid ya hapo namfaham sana hata iweje lazma saa 5 arudi home najua ratiba mkuu
Kwa hiyo hiyo saa tano mkeo anakaa mpweke khaaaa ndoa ya hivi siitaki

Bora kuwa single

Unakaa kumuombea mumeo asipatwe majanga usiku huo hajarudi, kumbe ni FBI wa kujitegemea kwa mchepuko wake
 
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Hakuna mke hapo.
Jifanye mjinga uendelee kula mzigo.
Ukiuchoka sepa.

#YNWA
 
Mkuu Hushan kuna sehemu unakwama. Haiwezekani mwanamke umrejeshe ndani saa 2 usiku halafu hapo hapo atoke na mwengine. Alitakiwa akifika ajilalie tu kwa machofu.

Matatizo unayo wewe jirekebishe.
 
Unampenda kidogo,Baki na mke wako acha uboya
 
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Chunga sana wewe, utakuja mletea mkeo magonjwa boya wewe!.
 
Mkuu umekuwa agent wa CIA hakyamungu yan unalia timing hadi saa tank usiku ww ushafuzu ujasusi mkuu ila kidume mwenzio ni agenti wa MOSSAD naona mlikuwa mnaliana timing tu..... "mambo ni mengi muda hautoshi"
 
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.

Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.

Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.

Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.

Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni

Daa nimekumbuka zaman kweli ...mtu unajua kabisa hayupo lkn naenda kwake msubiri hadi nione anaemrudisha ...unazunguka nje kama tahira .... Mungu anisaidie ule ujinga usirudi tena

Nilichojifunza usiku pametulia sana na kuna mambo mengi mno ...afu usiku hapatishi me nilikuwa nazunguka eneo moja hadi sa nane usiku🤔 sometime nakesha maana ukiondoka tu ndo anaeza rudi ukapoteza ushahidi
 
Jaribu kumripoti kwa wife asipojirekebisha mpeleke nyumbani kwako umuombe mkeo amuonye
 
Yaani unaugua kisa mchepuko?

Usikute na mkeo nae X wake anamsumbua.
 
Back
Top Bottom