Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Inabidi humu lianzishwe jukwaa la watoto!
Maana hizi nyuzi za wanafunzi zimekuwa kero sana!!!
Habari zenu wana JF

Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka


Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa..
Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote ..hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.. kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake..
Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi..
Ila sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10
Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh.. naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima..
Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini.. na ninahisi sitakaa niongee naye tena ..

Nyinyi mnasemaje waungwana.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point taken
Msela asikuzupumbuze, huyo anaonekana ni bidada sikuzote huwa wapo kwenye kuteteana.

Mkuu hakuna hata sababu moja ya msingi yakumfanya mtu akaacha kuwasiliana na mpenzi wake kwa siku nzima isipokua ugonjwa uliomtoa fahamu. BIla ya hivo basi jua amefanya kusudi. hakuna bzy yakumfanya mtu akashindwa hata kutuma text moja. Sasa kwanini amefanya kusudi hapo ndipo utakapojibu weye.
Nina experience yakutosha na hawa mashetani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna comment moja hapo umeambiwa tafuta hela,aisee unaweza ukaipuuza lkn huo ndo Ushauri wa busara sana..hawa wasichana ukiwa na hela wao ndo huwa wanaanza kukutafuta...hii tabia yenu wavulana kujitahidi kutafuta sms nzuri halafu asubuhi tu unaanza kutuma hawapendi. Hiyo sms ingekuwa ya Tigopesa,hata angekuwa kwa mwanaume angekujibu....!!

Huu ni udhaifu sana na unatokana na kukosa hela..tafuta hela uone Raha ya kuwafunua hawa viumbe...yaani hutahangaika tena kuwatafuta...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zako hazina akili kabisa, kwani penzi hununuliwa au hujengwa na upendo toka rohoni automatically?

Tajiri wa kwanza na muasisi wa Amazoni hakuachana na Mke wake waliyeishi naye zaidi ya miaka 25 na haijapita hata wiki 2 tu?

"Tafuta hela" wakata nyasi wakugongee Mke wako huyo unayemnunua tokana na ufinyu wa upeo wako kiakili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unafungua uzi kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unaomba ushauri? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] aaaah ***** walahi bogus Kabisa wiki 2 tu unataka kuleta mbwembwe kuwa mpole mzee Tuliza boli kama nyapu unaipata bila longo longo sio kesi kula vya kutosha kama analiwa na wengine its about time atajikanyaga tu utamkamata


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani unafungua uzi kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unaomba ushauri? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] aaaah ***** walahi bogus Kabisa wiki 2 tu unataka kuleta mbwembwe kuwa mpole mzee Tuliza boli kama nyapu unaipata bila longo longo sio kesi kula vya kutosha kama analiwa na wengine its about time atajikanyaga tu utamkamata


Sent from my iPhone using JamiiForums
sawasawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom