Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Kwa hiyo kwa wiki mbili tayari ushajua kua no "string attached" Yani wiki mbili ushafahamu kua hupendwi sababu hajapokea simu wala kujibu sms, na Kama haitoshi umeona last seen yake.

Real gentleman huongozwa na hekima katika kusolve case kama hizo na kamwe hawaongozwi na mihemko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ulichosema ni sahihi kuhusu hekima but kwa mwandiko wa mtoa nyuzi ilo ndio jibu linalomfaa maana inaonyesha bado ni matineja ambao hawana dira, it is just a boyfiend girlfriend thing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom